Mama mkwe huyu anaweza kuharibu ndoa ya Mwanawe wa kike. Suluhisho ni nini?

chakufanya asubiri ule mda wa dinner kila mtu yupo mezani, achokonoe tv isiwe inafanya kazi muda huo (kuwe kimya) then amuite mke wake chumbani amgegede kwa hasira ili wote wsikie. Kama kufikia jioni next day bado watakuwepo bas hao watakua wameshindikana.
Huu ushauri nimeupenda tena ikiwezekana abebe TV ajidai imeharibika apeleke kwa fundi (kumbe ameenda kuipaki sehemu) ili usiku wake akiwa anagegeda mama mkwe asiweze kuzuga kuongeza sauti ya TV asikilize milio ya binti yake vizuri.
 
...kama anamuonea aibu mama mkwe au kama mama mkwe nae kibati kichwani kimecheza..afanye hivi.

Kama pesa kidogo zipo, watafute chumba hata kimoja mtaa mwengine, wawe wanatumia muda wao mwingi kwenye hicho chumba cha kupanga na kulala huko...mama mkwe kuna picha itamjia tuuh na kujistukia.

Au siku mojamoja wakati wa usiku wawe wanaenda kulala lodge/guest....pia kuna picha itamjia mama mkwe.

Kwenye maisha sometimes inabidi uwe kauzu kidogo ulokole unauweka pembeni....kama yule mzazi wa jamaa aliewapeleka wageni kulala Kwenye vitanda vya wagonjwa hospital..😃😅
 
Huu ushauli nimeupenda Tena ikiwezekana abebe TV ajidai imeharibika apeleke kwa fundi (kumbe ameenda kuipaki sehemu) ili usiku wake akiwa anagegeda mama mkwe asiweze kuzuga kuongeza sauti ya TV asikilize milio ya binti yake vizuri.
Binti akiwa hayupo comfortable sababu mama yao anasikia unafikiri atampa uchi? We huwajui hao watu kwa misimamo 😂😂😂
 
Mimi naona huyo mwanaume afunguke kwa mkewe.. Kama mkewe ana akili atakaa chini na mama yake na kumueleza hali halisi.

Wenzetu wanawezaje.. sisi wa Ruvuma mkwe kukaa kwa mwanae na mume yupo ni tusi kubwa sana unless kuwe na sababu maalum.
 
Jamaa aaache ujinga kama anaweza hudumia watu 7 anashindwa nini kurekebisha ama kununua kitanda kipya.
Afanye kununua kipya, gemu ziendelee bila wao kusikia
 
Kuna mtu kanipa kisanga hapa nimeona niwashirikishe ili nimshauri.

Kijana anaishi Mbeya kabila Msangu kaoa mwanamke Mnyakyusa.

Baada tu ya kuoa mama wa binti akahamia kwa kijana (mkwe wake] na kuacha familia yake huko Uyole.

Baada ya miezi 6 mama mkwe akaleta wajukuu zake wanne pale kwenye ndoa mpya [ndoa ya binti yake] na hawa watoto ni wanafunzi wanasoma shule ya bweni hivyo wakifunga wanafikia hapo.

Hii familia ni ya kilokole na hata mkwe ni mlokole. Kwa sasa familia hii imekuwa na watu 7 , yaani Mume, mke , mama mkwe na wajukuu wa mama mkwe wanne.

Kijana wa kiume anasema hapati muda wa mapenzi na mkewe kwakuwa mke mda wote anakaa na mama yake mzazi sebuleni.
Mama mkwe ndiye anaamua cha ku[pikwa, muda wa kusali, nyumba ikae vipi na mambo mengine kama hayo.

Mume kasusa tendo la ndoa maana kitanda kinapiga kelele na kipo karibu na sebule ambapo watoto wanakuwa wanaangalia TV.

Mke wa huyu rafiki yangu hajui kama ameolewa, na mbaya zaidi ni wale watoto wameolewa kutokea nyumbani , hawajawahi kuka gheto , yaani kahamishia failia yake yote hapo kwa mume.

Je, nimshauri awe anafanya mapenzi na mkewe hata kama mama mkwe yupo sebuleni na anasikia miguno ya utamu?

Huyu kijana ananiambia ukimuona mtu saa moja asubuhi yupo BAA anakunywa Pilisner baridi au ukiona mtu ananunua madada-poa muombee, hajapenda ila shida za kijinga kama hizi ndizo zinaleta stress.

Naombeni ushauri ili na mimi nimpe, JE, amchane laivu mama mkwe kwamba hamtaki ama amwambie mkewe kwamba nyumba ni ya wawili na siyo familia kubwa?


Mshauri jamaa apige mke wake mambo usiku kucha mama mkwe ataondoka mwenyewe tu bila kuaga
 
Mie nafukuza wote mbwa hao. Yani nyumba yangu iendeshwe na mama mkwe?

Ntachomwambia mke ni kuwa nimekuoa wewe sasa sielewi hawa watu unaonijazia hapa ni wa kazi gani?

Akianza oh mamaangu sijui blah blah...ntamuuliza tu kwani alikuwa akiishi wapi kabla sijakuoa?! Kama mamaako ndio kakuoa basi wacha mie nikaoe mwanamke mwingine na nikija nae hapa muhakikishe mnafungasha mapema tu.
Haya ndo maamuzi ya kiume...sio kukaa kuwaza waza tu...ujipatie vidonda vya tumbo bure .. .roho ngumu hapo inahitajika
 
Mshauri jamaa apige mke wake mambo usiku kucha mama mkwe ataondoka mwenyewe tu bila kuaga
Sawa, sasa si unajua kupiga show lazma baada ya bao watu watoke wakanawe bafuni na wapite sebuleni, mama mkwe yupo anaangalia TV, sasa itakuwaje mzee baba anapita na bukta , dushe limesimama anakwenda kunawa then atamsalimia mama mkwe ama itakuwaje, hebu endelea kushauri hapo.
 
Sawa, sasa si unajua kupiga show lazma baada ya bao watu watoke wakanawe bafuni na wapite sebuleni, mama mkwe yupo anaangalia TV, sasa itakuwaje mzee baba anapita na bukta , dushe limesimama anakwenda kunawa then atamsalimia mama mkwe ama itakuwaje, hebu endelea kushauri hapo.
Atapita siku moja tu kesho yake mama mkwe atakimbia hawezi kukaaa dawa ya jeuri kiburi tu
 
Naomba hiyo comment tafadhali, uliyoshindwa kutuma.
Ndoa ya rafiki yangu tulisoma naye na wote tukapata ajira Mahakamani mwanzoni mwa 2000 kwa sasa yeye ni msajili mahakama kuu ila kituo sitasema.

Sawa, lakini Cha msingi hapo ni kwamba hiyo hali haipendi, na kwa kuwa hapendezwi nayo, inabidi achukue hatua za kuweka mambo sawa.

Anaweza kumweleza mama yake kwamba yeye anataka nini, in such mama arudi kwake na kwamba atamuhudumia kwa kila kitu yaani kiufupi atafute sababu nzuri ambayo haitamuumiza Sana huyo mama. Anaweza akamwambia anataka kupaka nyumba rangi kwa hiyo wapishe kwanza na akija kutaka kurudi ampe sababu nyingine had achoke.

Njia za diplomacy zikishindikana basi, kwa kuwa anataka watoke anaweza Sasa kutumia ukali japo inataka moyo sana ukizingatia kwamba huyo ni mama mzazi.

Ninajua hakuna linaloshindikana.

Cha msingi amuambie, na pia hapo ugomvi ni lazima uwepo au malalamiko fulan. Yaani anaweza akapata lawama za kudumu maisha yote maana wanadamu hawaridhiki na ukiwaridhisha umekwisha. Hutofanikiwa!
 
Haya ndo maamuzi ya kiume...sio kukaa kuwaza waza tu...ujipatie vidonda vya tumbo bure .. .roho ngumu hapo inahitajika
Yani wala sio swala la kujiuliza mara 2! Ukiwa legelege familia inakushinda.

Watu wa Mbeya wana ule ujinga kuwa mtu mzima hatakiwi kuhojiwa akiwa dada basi ata afanye upumbavu gani utaskia..."Ndio dada kasema"..."Ndio kaka kasema hivyo" hata kama kasema kitu ambacho haki make sense wao huwa hawapingi analosema mkubwa ndio kama sheria😂😂😂 na wana umoja kweli katika familia.

Huu ujinga i find it odd hapo huyo mama mkwe mwanae hawezi mwambia kitu sababu atamtishia laana. Sasa cha kufanya ni kutimua wote tu na unaweza shangaa mke yupo radhi kuachika ila sio kumfukuza mama yake yeye abakie 😂😂😂 bora waondoke wote. Hio ndio mentality ya watu wa Mbeya.
 
...kama anamuonea aibu mama mkwe au kama mama mkwe nae kibati kichwani kimecheza..afanye hivi.

Kama pesa kidogo zipo, watafute chumba hata kimoja mtaa mwengine, wawe wanatumia muda wao mwingi kwenye hicho chumba cha kupanga na kulala huko...mama mkwe kuna picha itamjia tuuh na kujistukia.

Au siku mojamoja wakati wa usiku wawe wanaenda kulala lodge/guest....pia kuna picha itamjia mama mkwe.

Kwenye maisha sometimes inabidi uwe kauzu kidogo ulokole unauweka pembeni....kama yule mzazi wa jamaa aliewapeleka wageni kulala Kwenye vitanda vya wagonjwa hospital..


Sent using Jamii Forums mobile app
 
18 Reactions
Reply
Back
Top Bottom