Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,882
popote alipo mama mkwe wangu sina shida nae bna ni mama yangu wa pili huyo i wish nikutane nae nimpe mapenzi ya dhati no matter what!Mweee
Sasa unamtetea mama mkwe usiyemjua
ni zimwi likujualo tu ndo lina huruma!!
Hata wakiwa wanatesa mtendee wema tena wenye kuvuka mipaka ili hata siku akiwa taabani nafsi yake imsute ajifie kwa aibu yake mwenyewe.ila tatizo mama mkwe wengine nao akili mbovu wanatesa sana
popote alipo mama mkwe wangu sina shida nae bna ni mama yangu wa pili huyo i wish nikutane nae nimpe mapenzi ya dhati no matter what!
kuna dada mmoja kaolewa jmosi kaishi na mume wake miaka 8 wana watoto 2 mama mkwe kagoma kuja kwenye harusi wakati huyo dada ndo anamsaidia maana kwao uwezo upo hata mume alimsomesha yeye .wahehe ni noma aisee kamama kafupii kanenee keusi kamezira kabisa na kabla ya harusi aliletwa akawa anatibiwa aga khan harusi imekaribia akalilia kurudishwa iringa hataki kijana amuoe huyo dadaHata wakiwa wanatesa mtendee wema tena wenye kuvuka mipaka ili hata siku akiwa taabani nafsi yake imsute ajifie kwa aibu yake mwenyewe.
aahaaa aya upendo wa dhatimapenzi ya dhati?
sawa nimekuelewa
na mimi ntampa MAPENZI YA DHATI
Loh!!
Marahabaaafande muogaaa
duh
shikamoo afande!
Hako katakufa kwa roho mbaya tu. Ni kukapotezea tu maana hata ukasaidieje hakatoridhika.kuna dada mmoja kaolewa jmosi kaishi na mume wake miaka 8 wana watoto 2 mama mkwe kagoma kuja kwenye harusi wakati huyo dada ndo anamsaidia maana kwao uwezo upo hata mume alimsomesha yeye .wahehe ni noma aisee kamama kafupii kanenee keusi kamezira kabisa na kabla ya harusi aliletwa akawa anatibiwa aga khan harusi imekaribia akalilia kurudishwa iringa hataki kijana amuoe huyo dada
Nakupa like nyingine.mapenzi ya dhati?
sawa nimekuelewa
na mimi ntampa MAPENZI YA DHATI
Loh!!
Inaelekea na wewe unamchukia huyo mamakuna dada mmoja kaolewa jmosi kaishi na mume wake miaka 8 wana watoto 2 mama mkwe kagoma kuja kwenye harusi wakati huyo dada ndo anamsaidia maana kwao uwezo upo hata mume alimsomesha yeye .wahehe ni noma aisee kamama kafupii kanenee keusi kamezira kabisa na kabla ya harusi aliletwa akawa anatibiwa aga khan harusi imekaribia akalilia kurudishwa iringa hataki kijana amuoe huyo dada
Ubinafsi unaua ndoa nyingi. Huu mtazamo wako ni kwa mama mkwe mkorofi kupindukia lakini kama yuko fair si haki kabisa.Ilikuwa zamani hiyo
Siku hizi najificha then natuma Mpesa mwenyewe
kila mmoja awe anajali wa kwake
kwani ni mama yangu yule?
Ndoa zenyewe za siku hizi ...
Bora ujali tu mama yako kwanza!!
sorry!!