Sasa mkuu mpaka ujifiche shida zote za nini ?Ilikuwa zamani hiyo
Siku hizi najificha then natuma Mpesa mwenyewe
kila mmoja awe anajali wa kwake
kwani ni mama yangu yule?
Ndoa zenyewe za siku hizi ...
Bora ujali tu mama yako kwanza!!
sorry!!
Sasa mkuu mpaka ujifiche shida zote za nini ?
ndio maana hatukupi like kama mambo yenyewe ndio hayaIlikuwa zamani hiyo
Siku hizi najificha then natuma Mpesa mwenyewe
kila mmoja awe anajali wa kwake
kwani ni mama yangu yule?
Ndoa zenyewe za siku hizi ...
Bora ujali tu mama yako kwanza!!
sorry!!
ndio maana hatukupi like kama mambo yenyewe ndio haya
sawa bibi usjalDuh!
yaani unakuja mpaka huku na mashudu mkononi
Hebu yarudishe Chit Chat
Kule ndo yanaliwa
Huku ni takataka!!!
sawa bibi usjal
mwambie bado nje kuna mvua so asubir iishe kwanzaKuna mtu anakuulizia hapa dukani
vipi bado upo na Halima
mama ake anamuita huku
mwambie bado nje kuna mvua so asubir iishe kwanza
mwambie namalizia kifurush changu soon kinaisha ntarudisha... ahaa nlisahau aisee uzur hazina madhara zilikua za kukumbushana kusali tu.Halafu ulete na hiyo simu
mwenyewe anaitaka
usisahau kulog out jf
jana kaona hadi PM zako
sijui hukulog out
ndio maana hatukupi like kama mambo yenyewe ndio haya
ha ha ha ha ha kumbe na wewe umeliona enhee,,Yaani huwa nazitamani za mshana jr hivi zina raha?
Mie nazeekea jf sasa na sinazo hata za kutosha
Ntakuwa bibi bila hata like 500?
Hebu nipeni jamani, tena za kutosha,
Nipeni za kutosha na mimi ntawapa nanilii, ile naniliu nini ile?
Ile nyeusi inaitwaje?
Inaitwa like!!
Nipe nikupe!
Mkuu hela yako tena ya halwli bado ikutese?Ilikuwa zamani hiyo
Siku hizi najificha then natuma Mpesa mwenyewe
kila mmoja awe anajali wa kwake
kwani ni mama yangu yule?
Ndoa zenyewe za siku hizi ...
Bora ujali tu mama yako kwanza!!
sorry!!
Mkuu hela yako tena ya halwli bado ikutese?
Bora hata kila mtu aangalie upande wake kama mashaka ni mengi japo nayo matatizo
mwambie namalizia kifurush changu soon kinaisha ntarudisha... ahaa nlisahau aisee uzur hazina madhara zilikua za kukumbushana kusali tu.
una shida mpaka ujifiche...hauko huru hapoIlikuwa zamani hiyo
Siku hizi najificha then natuma Mpesa mwenyewe
kila mmoja awe anajali wa kwake
kwani ni mama yangu yule?
Ndoa zenyewe za siku hizi ...
Bora ujali tu mama yako kwanza!!
sorry!!
una shida mpaka ujifiche...hauko huru hapo