Mama mkwe ananinengulia je ni mtego au?

Usimsaliti mkeo kakaangu, unapouliza umle au ufanyeje unamaanisha huwezi jizuia mwenyewe, kumla si shida lakini umsaliti mkeo kwa jimama, je na mkeo akitembea na baba mkwe wa rafkiako ukajua utamsamehe, so stop hata kuwaza hivyo.

mwanamke hutakiwi kuwa mtu wa visasi mamushka!!!!
 
Kua uyaone jamani...mama mkwe wa rafiki yangu ambaye pia namuita mama Mkwe kila siku ananinengulia jamani, mara ananikaribisha kwa maongezi na anajua kabisa mie na mke na sijawahi msikia akimsifia mke wangu hata siku moja, ni bado kijana tu na analipa kweli lkn je nimege hili tunda? mie naona kama mtego maana anajua kabisa nampenda mke wangu na akisikia watu wanaongelea mimi na wife anakaa kimya au anaondoka...huyu anataka balaa au sio jamani??

Mambo mengine jamani mm kazi kweli kweli, hii nayo ya JF kweli,kuna kazi.
 
QUOTE=Magulumangu;Duh ngoja nifanye fasta nile hahahahaha wasije mafataki wakaimendea...

Huogopi tena kuisaliti ndoa yako? Kumbuka what comes around,goes around and vice versa. Ivyo kuna baba mkwe nae anamlia mingo mkeo. Na mkeo yuko kwny dilema ka yako.
 
Mwenzetu unabahati, mbona siye zinatupita kando hizi za chapchap? duh:A S-alert1:
 
AMA KWELI MAADILI HAKUNA KABISA; MMESAHAU KABISA HATA KAMA KUNA GONJWA HATARI LA UKIMWI!!!!!!!!!!!!!.....MTOTO WA WATU UMEMUOA ILI UMPELEKEE UKIMWI!!!!!!!!!!! HATA WOGA TU HAMNA!!!!!!!!!! MMEKUWA MAHARAGE YA MBEYA MAJI MARA MOJA??????????? SISI AMBAO HATUJAOA MNATUFUNDISHA NINI??????????????????????:crazy::crazy::crazy::crazy::crazy::crazy::crazy:
 
Ukikua utajua:whoo:
 
QUOTE=Magulumangu;Duh ngoja nifanye fasta nile hahahahaha wasije mafataki wakaimendea...

Huogopi tena kuisaliti ndoa yako? Kumbuka what comes around,goes around and vice versa. Ivyo kuna baba mkwe nae anamlia mingo mkeo. Na mkeo yuko kwny dilema ka yako.

Wala hamna Baba mkwe kukaribia kwangu marufuku......hata hivyo Baba Mkwe wa mke wangu ana Totoz kali usipime na anaaccess ya TOTOZ USIPIME
 
AMA KWELI MAADILI HAKUNA KABISA; MMESAHAU KABISA HATA KAMA KUNA GONJWA HATARI LA UKIMWI!!!!!!!!!!!!!.....MTOTO WA WATU UMEMUOA ILI UMPELEKEE UKIMWI!!!!!!!!!!! HATA WOGA TU HAMNA!!!!!!!!!! MMEKUWA MAHARAGE YA MBEYA MAJI MARA MOJA??????????? SISI AMBAO HATUJAOA MNATUFUNDISHA NINI??????????????????????:crazy::crazy::crazy::crazy::crazy::crazy::crazy:

Nikufundishe tena mkuu? TUITION au? nimemuoa lakini mechi za kimataifa na majaribio zipo, halafu wewe usiseme UKIMWI ni homa ya siku nyingi...DUREX zipo vaa hata mbili mbili mkuu...mechi mbele
 
kula haraka kwa kwenda mbele

Utapata jibu jumatatu maana jumapili kama hali ya hewa haitabadilika na washabiki kuwa wengi mechi inapigwa, hakuna live wala recorded mkuu ni written tuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu...
 
Labda kama huyo rafiki yako alioa underage..!ukweli nahisi hawapishani na mama yako mzazi...na kwa nini ufanye hayo?mkeo hakutoshelezi?

Tooo late Fab kwa advice yako, UCHAKACHUAJI uko mbioni ndo maana matokeo hayajatangazwa bado, Usalama wa Taifa umeweka mambo sawa, NGOMA inapigwa jumatatu hali ya hewa ikiwa nzuri, no maandamano kitu lazima kiapishwe.....Utapata jibu kamili j3, iko vipi? snow, mvua, jua, baridi, ya moto, ya uvuguvugu, upana hapo given maana vichwa vilitokea hapo so hapo sikwambii ng'o....
 
ulikuja na nimekutana na x wangu wife amenuna, sasa unakuja na hili tena, that is why mkeo hakuamini

Hata hivyo too late mkuu, decision made, mechi jumatatu, kama vipi utapewa yaliyojiri tu....Mama Mkwe Vs Mtoto Mkwe, patamu hapoooooooooooooooooooo.....ndoto inatimia kuchakachua jimama.
 
Ni bora amuache tu maana nisawa na kula mama yake

Too late mzee, wamechakachua tayari mechi ipo hata mvua inyeshe kama elnino, hata yaje mafuriko inachezewa kwenye wato hahahaha....Utapewa yalojiri uwanjani jumatatu....
 
eti unampenda mkeo,r u sure?
ungekua unampenda wala usingekuja kuuliza ule tunda au usile!
wanaopenda wako zao wanajua hawawezi kula tunda jengine zaidi ya la wake zao.

Too late mama UCHAKACHUAJI tayari umefanyika...mechi weekend jumatatu yaliojiri mtapewa...sorry Cheusimangara, ni mechi za majaribio hizo, za mchangani mama...
 
Hawa wenye ndoa sijui huwa wanatufunza nini sisi Unamke unataka mamamkwe tena.....Vipi house Gal wako na mashemeji zako?

Hamna shule ya wanandoa, jifunze mwenyewe utajua lipi zuri na lipi jema ila too late, NEC wanasubiri utulivu na usikivu maana uchakachuaji tayari na mechi ni weekend, yalojiri jumatatu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom