Mama mkwe amevunja ndoa yangu

Mama mkwe amevunja ndoa yangu

achana naye huyoo hakufai hata kidogo!

NB-YOU CAN CHANGE THE WOMAN BUT NOT THE SPIRIT OF WOMAN! kama wazaz wake hawakuweza kumbadilisha,wewe ndo huwez kabisa hata kama umepewa miaka 1000!

naomba unipm mkuu I want to tell you more!
 
Kwa hayo yote uloeleza kuhusu mkeo n kweli hakuwa mwamnfu na hakuwa na mapenz ya dhati kwako kipnd upo nae.
Luna tofauti kubwa kati ya mime na boyfriend sasa kaiona na ndio maana kajua na kuomba msamaha. Inaumiza sana kwa sababu amekufedhehesha sana lkn km wew kweli n mkristo msamehe na kusahau yalopita kwa sababu hakuna mkamirifu ktk hii dunia.
Kwa hayo alopitia adi kujutia atajirekebisha na atakuwa mke mwema na mtaish kwa amani na furaha.
Mtoto anahtaji malezi ya baba na mama n kweli kabisa mrudie mkeo mumlee mtoto wenu, ukzngatia ni zawadi mlopewa na Mungu.
 
Mimi nadhani when it comes 2 love na relationships women ni strong na wana upper hand kuliko wanaume coz wao wana sex options nyingi kuliko sisi, uctume hela yoyote ya kulea mimba subir mtoto azaliwe hlf ukampime DNA kama mtoto ni damu yako ww mlee kuanzia mavazi, ada, msos, ili asije teseka kwa ujinga wa mama yake na huyo mwanamke usimpe hata sh. 10 Heaven Sent mpenda siri
 
Mwanamke anitukane kama mbwa ainyanyase kwa jeuri gani?? Hivi wanaume WA hivi mpo kweli?? Ingekua n mm ningepiga talaka na ukoo mzima wasinijue shwain!!
Ni kweli, ni bora lawama kuliko fedheha. kwa alivyoeleza kama atamrudia napata hisia atafanyiwa mambo mabaya zaidi.
 
Wanyarwanda si wanawake wazuri kuowa. Mi nakushauri achana nae tu.
 
Mimba ya kwanza ya wanyarwanda huwa ni ya mnyarwanda mwenzieee... mkuuu nna uhakika huyo mtt sio wako 100%
 
Mrudie tu, ndiyo ndoa hizi.

Ila fanya uchunguzi kwanza, probably jamaa yake kammwaga na hana pengine pa kwenda.

Na ukute jamaa alikuwa anatoa hela ndefu hadi kwa mama ndiyo maana mama pia alikuzingua.

Ila ujiandae, maana akijifungue akarudi kwenye form atakusumbua tena.
Na inawezekana akajifungua mtoto wa mnyalu mwenzake
 
Brah pole jambo la kwanza tulia piga goti kwa Mungu muombe sana funga ukiomba hata siku tatu jibu utalipata mlangoni
 
Dah inawezekana wanawake ni viumbe hatari kuliko vyote hapa duniani kuna mmoja na yy nimesoma thread yake mkewe hataki kabisa kuongozana nae kwenye mitoko
 
Ameshajibu hili swali kuwa ilikua usanii tu hakuna cha bikira wala nini,yeye alihudumia majamaa yakawa yanapiga tu.
Teh,kuna wanaume wanaonewa na wanawake,watu na ndoa zao...huyo dada kaomba msamaha ili asaidiwe kulea mtoto,na mme anavyompenda atamsamehe tu
 
Wanaume wa kusimama na ku-act kama wanaume ni wa kumulika na tochi dadaangu, trust me
Kweli ni wachache,visa vinavyoletwa humu na wanaume vinashangaza kwakweli..
 
Ni kweli, ni bora lawama kuliko fedheha. kwa alivyoeleza kama atamrudia napata hisia atafanyiwa mambo mabaya zaidi.
Na Hilo ndo kubwa ukishang'atwa na nyoka ukisikia unyas umetikisika tuu roho juu
 
Wanaume wa kusimama na ku-act kama wanaume ni wa kumulika na tochi dadaangu, trust me
Wanaume hadhi yenu inapungua now a days mwanaume n kichwa cha nyumba unakosaje mwelekeo shabash!!
 
Wanaume wengine mnadhalilisha sana....... Huyo mwanamke hakutaki wewe unamkomalia..


Una uhakika gani kuwa hiyo mimba ni yako???.... Ndoa haijaribiwi .... Achana naye.
 
Back
Top Bottom