Mama mkwe amevunja ndoa yangu

Swali kwako mpenda siri,

Je, mkeo huwa anaomba poo au 'uko vizuri tu' kama ulivyosema mwenyewe!??
Umeniwahi mkuu, kasema michepuko ndo wanaoomba poo! By the way kuwa mzuri kitandani sio kila kitu katika ndoa. Anajua kutunza na kugegeda bado amechapiwa! tabia haina dawa na huyo kaanza mapema mno hutamwamini tena
 
Hahaaaa! Poyeeeee!! kumbe uongo ulianza zamani!!
 
Kumkata Stimu Muombe Tigo Au Mwambie Unataka ThreeSome Yeye Na Rafiki Ake Uwagonge Wote.
Pumbavu Sana Huyo Mwanamke.
 
Dah!!kudadeki mwaka mzima kidume unaremba unashika pembe vidume wanakamua.. hilo ndilo lilikuwa kosa kubwa sana
 
Wanyarwanda noma they ferl superior sana,,pia wana destur lazima wazae na mtu wa kwao kwa vyovyote vile,, so take care sio watu wazuri utapata stress achana nae
 
Yaani wee ni kiazi tena kile kilichoungua na jua... Sikia mwanamke huyo ni hasara uamkamata na msg za wapenzi wake anakudanganya live nipo guest halafu bado unapenda nini?? Siku atakapo kuletea ngoma miwaya ndio utapata akili sawa sawa
 
No comments, uwamuzi wako hapo, wowote ule ni right kabisa
 
Tumbua jipu ndo habari ya mujini mura! Ukimrudia nistue nikutengenezee special certificate ya uzwazwa...
 
Point yako ya msingi :wanyalu wanapenda wanyalu wenzao sio, noted. Ushaur :acha jamaa wa kinyalu aendelee kula mzigo kilaini kabisa
 
Huyo mtoto subiri azaliwe kapime DNA ndio utaamua kwa sasa tulia tu usiwaze sana waza majibu ya kujenga au kubomoa.

Anataka kurudi kwako aliyekuwa anafikiri atamuoa kamtema ndio maana, mama yake na wa kwao wote wanajua asingeachwa usongemsikia labda nae alimwambia mwenzako kuwa mimba yake pia naye yule kakimbia kaona bora ajipatie mwanamke mwingine asiendelee na mwanamke kama mkeo na tabia yake hata weqe umeiona...bora hata asingefungua mdomo wake yeye akapiga mchezo bila domo kubwa kwako na wazazi wako na mama yake pia ana lake wachunguze zaidi hao.
 
pole sana mkuu. Mimi nakushauri usikilizd moyo wako na kile kitakacho kutokea kitakuwa ni zawadi ya maamuzi ya moyo wako,iwe zuri au baya.
Ila ingekuwa mimi? ningeangalia mtoto au mimba kama ni yangu.

Natafuta mwanamke mwingine. Usikubali hata siku moja mwanamke akakuendesha na kudhalilisha mbali zaidi mpaka wazazi wako;hii ni dharau kubwa sana. Mimi nilikotokea wanaume tuna viburi na hatupingwi na tunafanya tutakalo. uzuri wake mwachie kwani wazuri wako wangapi??
 
Nikivaa viatu vyako...siwezi kumrudia...Kwan ndoa ni mateso jaman...nin cha kufia pressure
 
point zako nimezichukua mkuu ila hiyo spy software ni mpaka niwe na simu yake nifanye installation ili niweze kutrack sms na simu zote bila yeye mkuu, naomba pia unichuze gharama yake kwani hii application itakuwa nalipa shingapi kwa mwezi?🙂
 
mkuu hakuna mwanamke hapo ......achana naye yasije kukuta zaid ya hayo mkuu
 
Kama amekiri ametembea na mwanaume mwingine how are you sure mtoto ni wa kwako?huyo muache kabisa tena Fanya mpango update mchepuko wa kudumu
 
Kabla ya yote pole sana ndugu yangu!!!
Kwa wakristo huna ruhusa ya kumuacha mkeo isuipokuwa kwa zinaa tu!!! Elewa maana ya hilo neno!!
Pili usisahau aliye muacha mwenzie ni yeye wala sio wewe!!
Kama unataka kuwa naye tena!! Ukampime mtoto DNA kama ni wako kweli, hapo utajua Kama kuna haja ya kuwa naye au laa!!
Kama utaona kuna haja ya kuwa naye !! Usiwe na haraka!! Mwaka mzima!!! Ongea naye mambo ya msingi tu!! Mengine no. Mpaka aone thamani yako kwa asilimia Mia!! Nje ya hapo atakuwa anakunyanyasa maisha yako yote!!!
Acha tabia Za kunyenyeke! Kuwa mwanaume kweli! Onyesha nguvu ya kumudu mambo !!! Akili yako iwe tayari kumpoteza.
Acha kufukuza kipepeo kwa vile umeipenda rangi yake!!! Tengeneza bustan nzur!! Weka maua kit na jipumzishe hapo !! Kipepeo atakuja mwenyewe! Na utamshika kilain kabisa!!
Jiamin maana wanawake huwahusudu wanaume wanaojiamin!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…