Mama mkwe amenichosha

Utu uzima kweli sio kitu bali busara za mtu.
 
Punguza wasiwasi mkuu
Usimkaribishe shetan nyumban, ujue unatengeneza mkosi coz kama wewe ni mkristu ukisoma walawi utaona ni dhambi kulala na mama wa mke wako(mama na mwanae).

Sema nawe pia una ajenda yako kichwani coz mwili hufata mawazo ya ubongo. Embu badilisha mawazo yako uone kama hali itajirudia.
Pia uache kuchepuka wewe mwaminifu kwa mkeo.
 
Shukrani mkuu,lakini mimi sina hesabu nae ila yeye ndio mwenye mitihani
 
Acha kabisaa Mkuu, Mama mkwe kama mama yako Mzazi.

Kama utaweza kumlala Mama yako aliekuzaa basi na huyo mgonge.
 
Mkwepe sana
 
Babu wa kitaa
 
Piga tu Uclaze damu Kataka Mwenyewe Usiache Huo mzgo maana mwenyewe umemcfia huwa mashaallah
 
Vibabu navyo vinaomba ushauri?! Huu nao uchuro pia! Kweli we babu mbishi! Kaushauri kangu, We endelea kubisha tu, mwenyewe atachoka ataacha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…