Mama mkwe amenichosha

Umwambie mkeo ampe nauli asepe, vinginevyo naona taa nyekundu inaiwakia ndoa yako
 
Story inafundisha
 
MKUU HII NI HADITHI YA KUTUNGA AU YA KUBUNI???JE MHUSIKA MKUU WA HII SCRIPT NI WEWE AU???✔
 
Jamani kubwa lilionikuta mpaka nimeamua kuwafikishia ndugu zanguni ni huyu mama mkwe

Ingekuwa vizuri uombe ushauri huko ulikotoka ikishindikana ndio kuja hapa hata mahakama kuna za mwanzo na za wilaya mpaka ile kuu jf ina mamlaka ya mwisho ya kumshauri mtu mamlaka hiyo imepewa na katiba ya JMT. JF ina watu wenye weledi kamwe hawajapata kutokea kabla
 
Mwambie tu ukweli mkeo, kua hauko comfortable na behavior za mama, sipendi anavyojifunga khanga moja tenabele ya mtoto haileti picha nzuri, pia hakatazwi kujilaza kwenye mkeka lakini anaweza kua anapumzika tu hata chambi, akishaongea nae Kuna mawili mama ata mind lakini ujumbe utakua umemfikia na wewe utakua safe kwa upande wako pia anaweza kuondoka kbisa au mkeo akamuondoa
 
Ushauri nitaufanyia kazi
 
Akhsante kwa maoni nayaheshimu
 
MKUU HII NI HADITHI YA KUTUNGA AU YA KUBUNI???JE MHUSIKA MKUU WA HII SCRIPT NI WEWE AU???
Kwa sababu imehadithiwa hata kama ni ukweli wa kiasi gani bado itaitwa ni hadithi tu haina jina jingine mkuu
 
Wewe ni mtunzi mzuri, jitahidi ukutane na Shigongo.
You gonna make alot of money out your talent nigger
 
Mkuu tunakulaga anza kugawa dozi upange na ratiba ila iwe equal share baina ya mama na mwanae.... Kula, kula, kula, mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…