Mazingira hayo magumu ni yapi?sio kwa vile nimetoswa na wanakwaya,ila mama pastor ananiweka kwenye mazingira magumu
ana kauli tamu,mikonyezo kama ya Rose1980 na kuvibrate hips makusudiMazingira hayo magumu ni yapi?
Kuwa a bit more specific kama unataka msaada wa maoni?
Ni uvaaji huko kanisani ama anakukonyeza kama Rose1980?Lol!
More details please.
ila ujue ye anataka na mi nimehamasika,ila kuna karoho kananikataza
chunia bhana patavurugika bure au unataka mpaka nikuhonge pipiduh! kweli kisicho riziki hakiliki, yule binti aliyekuzimika humu umeshamtimizia haja yake ya moyo?
Au ndo umeleta hii sredi ili ajue kuna foleni aongeze bidii? Ngoja nimwite aje huku
malizana naye kisela tu huyo mchungaji.khaaa ndo hivo nimeshazama majaribuni
kama vipi nistue tuje kumpiga mtungo.mchungaji ye mda wote anakesha kusali kanisani,mpaka ashtuke tayari mi nimeshamaliza game
ana kauli tamu,mikonyezo kama ya Rose1980 na kuvibrate hips makusudi
tenda dhambi ili motoni tuwe wengi.Nalog off
ahhh nimejaribu ila nashangaa msisimko ndo unaongezeka
Ahahaaah!!mi nachukia maswali rahisi kama haya..uje hapa na hadidu za rejea na reference jinsi mama mchubgaji alivokuwa anatweta..sio unakuja na ngonjera apa