Mama Magufuli uko wapi ujibu mapigo?

Mama Magufuli uko wapi ujibu mapigo?

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,140
Reaction score
18,004
Wewe ni mke wa mgombea wetu wa Urais,Dr. Magufuli. Unapaswa kuwa sambamba na Dr. Magufuli kama afanyavyo Regina Lowassa. Regina amezunguka nchini kupiga kampeni;anahojiwa na vyombo vya habari na kuandikwa.

Regina Lowassa anamwombea Lowassa na wagombea wa UKAWA kura. Anatamba na kupamba. U wapi Janeth Magufuli nawe ujibu mapigo? Jitokeze tafadhali hata kwa siku chache zilizobaki. Regina aweze ana nini na wewe ushindwe una nini?

Usikubali kushindwa na Regina Lowassa. Jibu mapigo na madoido!

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
 
Hata ungekuwa wewe huwezi kuwa wa......Halafu wengine wanahongwa Hotel.
 
Alafu mama wa watu atampigia kura LOWASSA inaonekana hatamani ata mumewe awe rais.
VIVA UKAWA!!!
 
Jamani yule mama sio golikipa ana ajira yake, yuko anatumikia taifa.

Huyo wa kwenu kiguu na njia hadi kwenye vijiwe vya masela atakuja shikwa makalio bure.
 
Wewe ni mke wa mgombea wetu wa Urais,Dr. Magufuli. Unapaswa kuwa sambamba na Dr. Magufuli kama afanyavyo Regina Lowassa. Regina amezunguka nchini kupiga kampeni;anahojiwa na vyombo vya habari na kuandikwa.

Regina Lowassa anamwombea Lowassa na wagombea wa UKAWA kura. Anatamba na kupamba. U wapi Janeth Magufuli nawe ujibu mapigo? Jitokeze tafadhali hata kwa siku chache zilizobaki. Regina aweze ana nini na wewe ushindwe una nini?

Usikubali kushindwa na Regina Lowassa. Jibu mapigo na madoido!

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Nyumba ndogo ile inamletea mke wa hapanikazitu mushkeli
 
Jamani yule mama sio golikipa ana ajira yake, yuko anatumikia taifa.

Huyo wa kwenu kiguu na njia hadi kwenye vijiwe vya masela atakuja shikwa makalio bure.

Uwe na heshima binti, hekima ni utajiri mkubwa sana kuliko dhahabu. Kumbuka hata wewe umezaliwa na mwanamke.
 
Jamani yule mama sio golikipa ana ajira yake, yuko anatumikia taifa.

Huyo wa kwenu kiguu na njia hadi kwenye vijiwe vya masela atakuja shikwa makalio bure.
Wewe boya sana!
 
Back
Top Bottom