Mama Magufuli amshukuru Mtumishi wa Mungu TB JOSHUA kwa kuunga mkono Jitihada zake za kusaidia wazee

sirluta

JF-Expert Member
Nov 28, 2012
6,325
2,487
Mke wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania
Mama Janeth Magufuli
ameongea na wazee katika
kituo cha Nkaseka Mkoani
Mtwara na kumshukuru
Mtumishi wa Mungu TB
Joshua kuunga mkono juhudi
zake za kuwasaidia wazee na
watu wasiojiweza.
 
Back
Top Bottom