Mama Lowassa ndani ya Ifakara, Morogoro

Mama Lowassa ndani ya Ifakara, Morogoro

back town

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2015
Posts
471
Reaction score
365
mama lowassa mji umesima kwa mda wamama wanasema awata fanya makosa
 

Attachments

  • IMG_20151012_151342.jpg
    IMG_20151012_151342.jpg
    315.6 KB · Views: 2,383
  • IMG_20151012_151327.jpg
    IMG_20151012_151327.jpg
    224.8 KB · Views: 2,287
  • IMG_20151012_151330.jpg
    IMG_20151012_151330.jpg
    366.4 KB · Views: 2,255
  • IMG_20151012_151152.jpg
    IMG_20151012_151152.jpg
    209.1 KB · Views: 2,229
Hivyo vitambaa vya kichwani vya chadema kwa wanawake ni vema vikasambazwa kwa wingi nchi nzima hata kwa siku chache zilizobaki.
 
huyu mama anaonekana angekuwa mzanzibar, angekuwa mgombea mwenza. Ka mama hakatulii nyumbani kana kiranga kwelii haka ka mama.
 
Safi Sana Kuwa Na mwanamke Wa Namna Hyoo Safi.Anafaa Kuwa First Lady
 
..watu wamejawa na furaha halisi toka moyoni; wame rilaaaxxx, hawana mawazo ya kuachwa na lorry.!
 
Back
Top Bottom