Huyu mama yuko wapi? Alikuwa mpiganaji wa richmond siku hizi yuko wapi? Anapigania nini huko aliko?
wewe mwenyewe unajijua ulipo?Huyu mama yuko wapi? Alikuwa mpiganaji wa richmond siku hizi yuko wapi? Anapigania nini huko aliko?
yupo dodoma anasimamia saloon yake na duka la nguo
JK kamwambia atulie. By 2012 atampa Unaibu Waziri (Jinsia, Maendeleo ya Jamii na Watoto) maana ndiyo thamani yake kama Mwakyembe na Unaibu Waziri wake.
@New York,USAHuyu mama yuko wapi? Alikuwa mpiganaji wa richmond siku hizi yuko wapi? Anapigania nini huko aliko?
anaandaa hotuba ya ushindi
Huyu mama yuko wapi? Alikuwa mpiganaji wa richmond siku hizi yuko wapi? Anapigania nini huko aliko?
Huyu mama yuko wapi? Alikuwa mpiganaji wa richmond siku hizi yuko wapi? Anapigania nini huko aliko?
Du du du @NYC akiingia humu leo. Mimi simo!