M Mama Katee New Member Joined Mar 16, 2009 Posts 1 Reaction score 0 Mar 16, 2009 #1 hello, everyone. am part of your community now. thanks have a nice day
Invisible Robot Joined Feb 26, 2006 Posts 16,285 Reaction score 8,468 Mar 16, 2009 #2 Karibu Mama Katee, Ni matumaini yetu utakuwa nasi katika shida na raha 🙂
Fugwe JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 1,676 Reaction score 664 Mar 16, 2009 #3 Mama Katee, Sisi ni wal wale watanzania wenye uchungu na nchi yao. Najua mpaka umeamua kuiunga yawezekana ukawa na uchungu kushinda wote hivyo tunategemea mengi kutoka kwako na wewe pia utegemee mengi kutoka kwa wanaJF wenzako. Karibu mama yetu.
Mama Katee, Sisi ni wal wale watanzania wenye uchungu na nchi yao. Najua mpaka umeamua kuiunga yawezekana ukawa na uchungu kushinda wote hivyo tunategemea mengi kutoka kwako na wewe pia utegemee mengi kutoka kwa wanaJF wenzako. Karibu mama yetu.
Caroline Danzi JF-Expert Member Joined Dec 19, 2008 Posts 3,714 Reaction score 1,269 Mar 16, 2009 #4 Welikamu mama Katee, fili ati homu!
M Middle JF-Expert Member Joined Feb 7, 2007 Posts 244 Reaction score 7 Mar 17, 2009 #5 KARIBU,usiogope fill at home
Ochu Platinum Member Joined May 13, 2008 Posts 976 Reaction score 50 Mar 17, 2009 #6 mchango wako tunauhitaji kwa ujenzi wa hili taifa mama
Krama JF-Expert Member Joined Mar 2, 2011 Posts 293 Reaction score 80 Aug 30, 2013 #7 karibu sana mama
A ACCOUNT FULL JF-Expert Member Joined Sep 24, 2012 Posts 1,995 Reaction score 389 Aug 30, 2013 #8 karibu mama, tuendeleze gurudumu la jf.
sir Ganto G JF-Expert Member Joined Jul 22, 2013 Posts 573 Reaction score 114 Aug 30, 2013 #9 Karibu sana JF.