Mama Karume: Kura 6000 alopata Maalim Seif katia nani?

mpk

JF-Expert Member
Sep 26, 2012
3,115
3,863
Mke wa Rais wa kwanza wa Zanzibar, Mama Fatuma Karume amehoji wanaosema CUF haikushiki uchaguzi wanatoa wapi hoja hizo? Amesema "Wale wanaosema CUF hawajashiriki uchaguzi wanatakiwa kujiuliza kura alopata Seif katia nani? Ina maana CCM waweza kumtilia kura zote hizo? Thubutu!

Chanzo: Channel Ten Habari
 
Hii familia imekuwa ya hovyo sana kutokana na hili sakata, bora wakae kimya tu mbona marais wenginee wastaaf wamenyamaza? Wameshatukanwa kuhusu asili yao lakini wanajifanya hawalioni hili, wakiamini chatara asie takiwa ni wa cuf tu.
 
Mke wa rais wa kwanza wa Zanzibar Mama Fatuma Karume amehoji wanaosema Cuf haikushiriki uchaguzi wanatoa wapi hoja hizo? Amesema "Wale wanaosema Cuf hawajashiriki uchaguzi wanatakiwa kujiuliza kura alopata Seif katia nani? Ina maana Ccm waweza kumtilia kura zote hizo? Thubutu!
Source: Chanel Ten Habari
inashangaza mtu ambae alikua first lady kuongea vitu kama hivi....kilichotokea zenji kila mtu anafahamu so wao wangenyamaza tu kwan uchaguz ushapita na kushinda wameshashinda
 
Mke wa rais wa kwanza wa Zanzibar Mama Fatuma Karume amehoji wanaosema Cuf haikushiriki uchaguzi wanatoa wapi hoja hizo? Amesema "Wale wanaosema Cuf hawajashiriki uchaguzi wanatakiwa kujiuliza kura alopata Seif katia nani? Ina maana Ccm waweza kumtilia kura zote hizo? Thubutu!
Source: Chanel Ten Habari
 
Mke wa rais wa kwanza wa Zanzibar Mama Fatuma Karume amehoji wanaosema Cuf haikushiriki uchaguzi wanatoa wapi hoja hizo? Amesema "Wale wanaosema Cuf hawajashiriki uchaguzi wanatakiwa kujiuliza kura alopata Seif katia nani? Ina maana Ccm waweza kumtilia kura zote hizo? Thubutu!
Source: Chanel Ten Habari
Bibi kanena
Jibu mbona rahisi tu KATIA JECHA
 
kwa wale wavaa kijani na njano wataona kaongea jambo la maana kumbe pumba tupu,tuna hakika gani kama CUF walipiga kura? CCM wanashindwa vipi kuweka hizo kura wakati wao walishapanga kupata laki 2 ,dah sijui majini gani yalipiga kura znz
 
Suali zuri sana hilo bi mama karume japo kuwa alipokufa Karume wewe ulikuwa tayari mshaachana nae ila tu imefichwa ili upate zile fadhila za serikali. Tuache hayo turudi katika suala lako ambalo kiukweli ni zuri sana.
ilamimi naona hilo suali ni la jecha sio CUF.
kwanini kule pemba vituo havilikuwa na watu ila shein amepata kura kuliko hata mgombea wa uakilishi? Mfano moja kule chake pemba shein amepata 4551 wakati yule wa muakilishi amepata 221.
kutokana na hesabu shein amepata asilimia 87.7 ila katangazwa ana asilimia 91.4 kwanini hivi?
Je yawezekana hizo 6000 anazosema bi mama karume sio za jecha ameamua kufanya fogery kama alivyofanya hizo nyengine?
 
Huwa najiuliza kama Mme wake alifariki mwaka 1972 na akiwa na umri Wa miaka 69 hivi, je huyu mama wakati huwa alikuwa na umri gani na katka huo angeweza kuwa na hawa watoto wote ? huwa najiuliza sipati jibu.
 
We bibi angu,achana na haya malevi ya ukawa,yatakuvunjia heshima yako bure.
 
Huyu mama aangalie jimbo moja tu,atajua kura zimetokea wapi
kwa mfano
Ziwani kwa mujibu wa hesabu rasmi za ZEC
FB_IMG_1458839166555.jpg
Hesabu za Jecha
Uwakilishi CCM = 221;
UPDP = 121,
ADC= 7,
CUF =153,

Urais CCM = 2890
CUF =140
ADC = 300
Kwa maana hii kuna watu zaidi ya 2000 wameenda kupiga kura za rais hawakupigia wawakilishi, haiingii akilini.
Maana yake ni kura za uraisi zilikuwa tayari zimeshapigwa na walikisia watu kama 3500 wanaenda kupiga kura kwa bahati mbaya hawakwenda.
Kwa mujibu wa form ya majumuisho hapo juu alieshinda ni UPDP lakini jecha kampa ccm
 
Back
Top Bottom