BIG BROTHER ALEX
JF-Expert Member
- Sep 24, 2025
- 1,293
- 2,258
Kaka hao ni wezi hawana tofauti na watuma kwenye namba hii, Sasa wadau wanajiuliza huyu mama NAE kaamua kuunga tera au hajui kinacho endelea?Freemason imekua choo cha stendiππ
Mkuu hapo Kuna watu wanaenda KUPIGWA, tajiri chui sio muigizaji ni mtu kazi kama alivo chief godlove, huyu jama NAE eti ana kanisa la freemason unajiuliza hivi huyu qmetuona sisi matrako, free mason Kenya walifukuzwa kwenye jengo kisa kushindwa kulipa Kodi, hata umeme TU walikua wamekatiwa, Sasa huyu atatushawishijeMovie hyo
Zumaridi aliombea kijana wa kitanzania akaanza kuvunja kama wakojakoπππZumarid aliwahi kumwambia atanfufua Kanumba
Njaa mjini ni fedhshaKatika Hali ya kushangaza, yule jamaa anae jiita tajiri chui kamuongeza mama KANUMBA kwenye crew yake ya matapeli, Yani jamaa amemshawishi mama KANUMBA mpaka NAE kakubali, je mama hajui hao ni matapeli? Kwenye picha mama KANUMBA ni huyo alie na mviii nyingi mwanamke peke yake.
Nani alaiwe kwa hiki anacho KIFANYA mama KANUMBA? Nime hisi TU labda mama baada ya kuona wamemkaushia akaona ajiongeze liwake jua inyeshe mvua mkono uende kinywani, tunaeA mlaumu bure kumbe Hana namna mama wa watu.
ππ.mimi najali shida zangu.Mkuu hapo Kuna watu wanaenda KUPIGWA, tajiri chui sio muigizaji ni mtu kazi kama alivo chief godlove, huyu jama NAE eti ana kanisa la freemason unajiuliza hivi huyu qmetuona sisi matrako, free mason Kenya walifukuzwa kwenye jengo kisa kushindwa kulipa Kodi, hata umeme TU walikua wamekatiwa, Sasa huyu atatushawishije
Hujamuona mama KANUMBA mkuu ilihali ni mwanamke pekee aliepo hapoKwenye hy picha sijamuona huyo mama kanumba.
Anyway, hakuna tuzo ya mtesekaji bora, tafuta njia yako ya shortcut unayoona itakupeleka kwenye mafanikio na upite humo
OK nmemuona, nadhani nilikuwa chap kuangaliaHujamuona mama KANUMBA mkuu ilihali ni mwanamke pekee aliepo hapo
Project za TEETH hizo kuwaadaa raia ,hata kina Chief nao ni wamoja wapo...sijawahi kuona TAJIRI ana mikelele.Katika Hali ya kushangaza, yule jamaa anae jiita tajiri chui kamuongeza mama KANUMBA kwenye crew yake ya matapeli, Yani jamaa amemshawishi mama KANUMBA mpaka NAE kakubali, je mama hajui hao ni matapeli? Kwenye picha mama KANUMBA ni huyo alie na mviii nyingi mwanamke peke yake.
Nani alaiwe kwa hiki anacho KIFANYA mama KANUMBA? Nime hisi TU labda mama baada ya kuona wamemkaushia akaona ajiongeze liwake jua inyeshe mvua mkono uende kinywani, tunaeA mlaumu bure kumbe Hana namna mama wa watu.
View attachment 3523758
Imagine ufike hapa na nyama yako π n mwendo wa nyama choma tuu π₯
π πImagine ufike hapa na nyama yako π n mwendo wa nyama choma tuu π₯
Shortcut ndio zinawaliza na kuwamaliza.Kwenye hy picha sijamuona huyo mama kanumba.
Anyway, hakuna tuzo ya mtesekaji bora, tafuta njia yako ya shortcut unayoona itakupeleka kwenye mafanikio na upite humo