Mama Kamkataa Mchumba Wangu

mbona unapaniki kama ww ndo muoaji punguza jazba ndugu
Eboo!Wapi nimepanic?We nadhani ndo umepanic mi nimempa ushauri tu kwamba aoe ndani ya familia yao, sa wapi nimepanik
 
kama unampenda oa na kama anakupenda hawezi kukufanyia vbaya mueleze mama ukweli awape baraka zote mana cku hzi ndoa inasimama kwa maombi na upendo wa kweli unaweza ukaoa wa kabila lako naye akafanya vituko tu only God ndo anaye saidia hayo mambo
 
mkuu japo najiweza kumbuka lakini kwenye maisha kuna kuanguka takimbilia wp????

kwa nini uwaze kuanguka na si kupanda hata kuanguka nayo ni part ya maisha ukiweka negativity nyingi huwezi kufika we are what we are because of our thinking ucpende kufikiria negative tu mkuu
 
mkuu kwenye biashara kuna faida na hasara
 
we unaweza kuoa dada ako?
Ahaaaa kumbe kweli umepanik hahahaa!Sasa kama Bi Mkubwa hataki uoe huyo mchaga atakwiba mali zenu si bora uoe ndugu wa karibu? Mi ningekuwa mwanaume afu bimkubwa wangu akatae mi kuoa mchaga au kabila lolote ningeoa dada yangu
 
kumbe ww ni ke,basi nakupa nafasi ya upendeleo nikuoe ww ila usiwe mchaga
 
Kwanza nimeolewa, afu ata kama ningekuwa sijaolewa na sio mchaga nisingekubali unioe mana nyie mnaoendeshwa na mama zenu kama magari mabovu sio wanaume wa kuoa
 
sasa my sister usipomsikiliza mzazi wako utamsikiliza nan?
 
Huyo mama yako mwambie umuoe yeye. Hana adabu kabisa.
 
Kwanza nimeolewa, afu ata kama ningekuwa sijaolewa na sio mchaga nisingekubali unioe mana nyie mnaoendeshwa na mama zenu kama magari mabovu sio wanaume wa kuoa

umenena point mwanaume yoyote ambaye hana msimamo ana rimotishwa hafai mwenyewe nyumbani ni waelewa wanakuruhusu ufanye ukipendacho wazazi wanakuombea baraka na kusaidia mawazo ila anaye kuchagulia cjui ufanye hv na vile mi naona uelewa wao cdhani
 
Na mimi nishaambiwa kabisa ni kuoa nyumbani kabisa Moshi..... La mcng na ww oa kwenu tuu kuondoa utata tumechoka.....
 
hilo ndo la msingi kuepusha lawama
 
Kampe mpoki na Joti waigize Komedy
 
umenena point mwanaume yoyote ambaye hana msimamo ana rimotishwa hafai mwenyewe nyumbani ni waelewa wanakuruhusu ufanye ukipendacho wazazi wanakuombea baraka na kusaidia mawazo ila anaye kuchagulia cjui ufanye hv na vile mi naona uelewa wao cdhani
misingi bora ya maisha hutoka kwa wazaz hicho ndicho ninachokiamini na ndicho kilichonifikisha hapa nilipo sasa mpendwa ww kama ulilelewa na robot huwez jua thaman ya mzaz
 
najua thamani ya wazazi nawapenda nakuwaheshimu watu wa familia yangu ni waelewa sana tena hunishauri mambo ya msingi kwangu mimi mwanaume asiye na maamuzi hafai hata kulumangia mimi hata nikimpeleka mchumba watanielewa coz what they need for me is my hapiness niwaelewa hata ndugu zangu all family hawajawah kuleta mchumba wakakataliwa eti kwa sababu ya ukabila hata hao wazazi i wonder kwakweli mana ndoa hutoka kwa Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…