Mama Janeth Magufuli, ulikuwa wapi leo?

awepo asiwepo ni superficial muhimu hotuba ya rais.
 
Ulitaka Magufuli awe Pinda!? Endelea na kazi yako ya kukatikia kichwa cha chini hapo. Achana na siasa.

Wanasiasa wenyw wakitoka bungeni wanaenda kukatika na kukatikiwa!!! Ww mwenzetu huna wa kukupa hayo mambo???? Au ndo Shemale??? Maana unabwabwaja humu ndani eti una kazi ya kuifanyia taifa nyoooo!!!!Toka lini taifa likahitaji Kimada kama ww Hamada????Tatzo lako ni ww nyege tu na point yako kubwa kupumuliwa kisogoni!!!! Hamida kapumguze hzo nyege mwisho wa cku utakuja miguu imelegeaaa na kuchekacheka ovyo humu ndani!!!! Na ujifunze tofaut ya mwanasiasa na mpenda siasa!!! Mimi na ww tunapenda siasa ila c wanasiasa acha kujifanya unajua kila kitu!!!!!!!!
 

Ahsante kwa kumwambia ukweli huyu mbwiga hamada maana kutwa lenyewe kuandika uhalo humu ndani.
 

Hizi siasa za majitaka mlianzisha kuhusu Slaa, leo shimo mlilochomba mnatakiwa muingie wenyewe mnajifanya mnatafakari mambo muhimu ya taifa
 
Mpk yule naibu spika nae kamleta mumewe
 
Ubishoo wa ma First Lady haukuwepo wakati wa Kambarage.

Rais tuliyemchagua ni John sio Janeth.

Mnataka naye aanzishe WAMA yake?
 
Mwk Nyerere wakati anazindua Bunge 1962 na wakati anaaga 1985 Mama Maria hakuwepo Bungeni acheni mambo yasiyo ya msingi kufanya ya Msingi, Moja ya mambo aliyokuwa analaumiwa Jk ni kumpeleka mbele mkewe kwenye masuala ya kitaifa
 
Mama yupo katika wakati mgumu sana juu ya mumewake. Hasa ukizingatia ni mcha mungu. Anafikiria changamoto aliyonayo mume wake hasa kwakukabidhiwa mzoga wa chama. Na hasa akifikiria wazi kwamba chama hicho hakikushinda kihalali kwa hiyo imeshaondoa iadilifu na utakatifu wa chombo hiki. Anapata kazi sana kujumuika na mafisadi nguli ambao wapo tayari kumwaga damu wakingangania madaraka.
 
Mwk Nyerere wakati anazindua Bunge 1962 na wakati anaaga 1985 Mama Maria hakuwepo Bungeni acheni mambo yasiyo ya msingi kufanya ya Msingi, Moja ya mambo aliyokuwa analaumiwa Jk ni kumpeleka mbele mkewe kwenye masuala ya kitaifa

Kabisaa bora mama aendelee kuw underground kuliko kuja kiherehere km mke wa mkwere raisi mumewe lkn urafikiri yy ndio rais na mwanae rizmoko...nchi waliiweka kiganjani..VIVA MAGUFULI..muache mama atunze wanae bado wadg....siasa haimuhusu
 
Namfananisha magufuli na nyerere.hata watoto wake sijawaona hapa leo.angekuwa mtani wangu jakaya leo msoga yote ingehamia dodoma.
 
maneno mazito sana hawa. Mkuu mzalendo15 unajua kwa wengine kushika Biblia au Koran kuapa ni kitu kikubwa na kinamaanisha kuapa kweli!
 
Magufuli hataki misululu ya watu mkuu katika safari zake......anapunguza.bajeti
 
Mwk Nyerere wakati anazindua Bunge 1962 na wakati anaaga 1985 Mama Maria hakuwepo Bungeni acheni mambo yasiyo ya msingi kufanya ya Msingi, Moja ya mambo aliyokuwa analaumiwa Jk ni kumpeleka mbele mkewe kwenye masuala ya kitaifa

Kwa hiyo Mwl Nyerere angelala juu ya mti siku ya kuhutubia bunge ingemlazimu na Pombe naye leo alale juu ya mti kama Nyerere?
Hii ndoa ya Pombe mmeshindwa kuisuluhisha kulinda sura ya kijamii ya Pombe mbele ya wananchi?
 
Hufahamu kama familia ya Rais Magufuli imepoteza Mjukuu.

Hata Rais Magufuli kama siyo majukumu ya kiserikali/nchi ambayo ni muhimu sana kutoyafanya kwa sasa angekuwa kwenye msiba kijijini.

Watu wanafiki kama wewe ni hasara kwa taifa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…