LINCOLINMTZA
JF-Expert Member
- Mar 15, 2011
- 1,639
- 519
Wana JF,
Hapa ofcni kuna mama amekuja kwa muda kutokea Cameroon
Nimemkuta akiwa katika hali kuwaza nikmuuliza
a) Mbona mama unaonekana unawaza au unahuzuni sana?
b) Umepa-miss nyumbani nini?
Akajibu: Mimi sina mawazo wala huzuni wala sipamiss nyumbani. Kwa nini nipamiss nyumbani na wakati nyie mupo hapa.
Akazidi kuporomoka: Nyie siyo binadamu kwani?
Ikabidi nijitete tu kwamba labda kwa sababu umezoe kule kwenu nikafikiria umepamiss sana na niaaga chapchap kwani niliona mama anataka kutumiwa na shetani.