Mama hamtaki mchumba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mama hamtaki mchumba

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by kisasangwe, Jul 28, 2011.

 1. kisasangwe

  kisasangwe JF-Expert Member

  #1
  Jul 28, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 294
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Hebu nisaidieni wajameni.

  Nina friend sometimes kitaaambo niliwahi kuandika humU JF kua anamchumba but mchumbake ni kiburudisho cha kasisi mmoja. Sasa sijui ni nuksi au ndo maisha yenyewe. Yule aliekua anamuv na kasisi mama wa rafiki angu alikua anampenda. Hata walipokorofishana yeye alikua anamsihi mwanae huyo kumvumilia. baadae kaka huyu alipomtolea nje yule bibi wa kasisi akapata kadada kengine ambae nae hawakudumu kisa... mama hakua anamtaka huyu mtarajiwa mpya sababu ya kabila. Eti watu wa hapo singo da si watulivu according to yeye. Sasa kapata mwingine ambaE kwa vigezo vyake ndie anaetaka wawe pamoja maishani. But mamake amekataaaaaa katakata sababu

  ..1 eti mtarajiwa hana kazi, hajasoma, ni mtu wa pwani( huyu rafiki kwao kanda ya ziwa) na vijisababu kibaaaaao. watu wamejaribu kumwelewesha mama ila ndo kabsaa amekataa. tena na laana kibao.

  jamani now my friend is confused, kabinti nako kamedata anasema kama my friend wangu asipomwoa atajiua, rafiki nae hajui amplease nani. hebu nambieni wapendwa nimshauri nini huyu ili kutatua tatizo.
   
Loading...