HAWEZI SEMAKAMWE NI AIBU KWANI KIHALALI MAMA/MZAZI KUKUSOMESHA NI JUKUMU LAKE COZ NI MATUNDA YA STAREHE ILA MTOTO KUKUHUDUMIA NI MOYONimeshawahi kuwaza kitu kama hiko.. maybe hiyo ndio sababu kubwa lakini anakwepa kuniambia.
Sent from my SM-J110F using JamiiForums mobile app
UNAHITAJI KUTUMIA BUSARA KUBWA SANA HAPO MOSI MCHUMBA/MKEO ANATAKIWA AJUE NAFASI YAKO KTK FAMILIA YAKO NA AIKUBALI 100%(ila ningumu kwa wabeijing)na KUISHIRIKI KWA MOYO WAKE WOTE MAANA SI WAWILI TENA BALI NI WAMOJA.NA MTENGENEZE MBINU MBADALA YA KUONGEZA NGUZO MBALALA ILI NANYI MUWEZE TENGENEZA MJI WENU BAADAENimeshawahi kuwaza kitu kama hiko.. maybe hiyo ndio sababu kubwa lakini anakwepa kuniambia.
Sent from my SM-J110F using JamiiForums mobile app
Kwani mke anamuolea mama au anaoa akajenge familia yake hukoTULIA KWANZA!!Maana Umepanic..Kama Mama Kagoma Hamna Uhusiano Hapo Mkuu,Kunywa Maji anza Kusaka Upya Bottom Line!!!
HAWA AKINA MAMA HUWAGA NA SIRI KUBWA , MTUMIE SHANGAZI, AU BIBI YAKO AKUULIZIE USIJEKUTA HUYO MCHUMBAAKO NI DADA YAKO.Habari za asubuhi ndugu zangu, natumai mmeamka salama.
Lengo la kuleta hii mada ni kuomba ushauri kwa ajili ya jambo linalo nisumbua kwa muda mrefu.
Mimi ni kijana mwenye miaka 25, nimemaliza chuo miaka miwili iliyopita na namshukuru Mungu maisha yanaenda vizuri. Ndugu zangu nimekuwa kwenye mahusiano kwa miaka miwili na mchumba wangu. Tumesaidiana mengi na ameonesha mapenzi ya kweli kwangu kwani amejitoa kwa mengi nami nampenda sana kutoka moyoni.
Tatizo ni kwamba toka nilipomtambulisha kwa mama, mama ameonesha chuki waziwazi kwake. Nilijaribu kukaa na mama na kuongea nae lakini sasa hana sababu maalumu ya kumkataa.
Niliwahi kumuuliza pole pole lakini akasema kuwa hajisikii amani moyoni mwake kuhusu mchumba wangu. Nikamuuliza kwanini hajisikii amani? Akakosa jibu akanipotezea.
Sasa mchumba wangu ameumia mno kiasi kwamba anataka tuvunje mahusiano baada ya kujua mama hampendi. Kwakweli nimejaribu kila njia katika kusuluhisha hili jambo lakini naona naelemewa.
Ndugu wa mwanamke wananielewa sana na imetokea kwao wamenikubali sana, haswa mama yake na baba yaani wakiniona wanafurahi. Lakini mama yangu mimi hamtaki na hana sababu maalumu ya kumkataa.
Nifanyaje wadau? Naombeni ushauri wenu.
Thanks brother eddy... mi ni mtu naamin katika misimamo sana.. i hope kipind hiki ndio misimamo inahitajika sana.Mwenzio yameshanikuta hayo,tena sio mama pekee hadi dada na wadogo zangu wa kike ila msimamo wangu ndo ulinisaidia.kuna msemo unasema ISHI UTAKAVYO SIO WATAKVYO.Yani leo ndo wifi kipenzi cha wote kwani kuweka tinted na kuvaa head phone ilisaidia sana.
Among the greatest thinkers of jamii gorums...ahahaaaaa....unajenga au unabomoa?Kumbe wewe ni mchaga, bure kabisa, muoane tu wenyewe kwa wenyewe, maana huyo dada mkurya mtamuambukiza ubinafsi na ukabila wenu, huyo mama aendelee kukataa tu, pia huyo binti ashikilie msimamo wake ili muachane tu.
Pole sana kuna jamaa yangu naye mama ake kasusa.. Jamaa kafosi kaoa hivyo hivyo!!Nyumbani tuko watatu.. mimi ndie wakiume.. na ni wa kwanza.
Mkuu ikikupendeza ni pm I will call uKwanza pole braza. Lakin ningependa kujua nini kilikutokea...? nataka nijifunze kutokana na story yako. Unaweza kunitumia inbox
Wachaga bn mbona binti zao wakiolewa na kabila zingine huwa hawapingi, kumbe huwa wanamaslahi yao binafsi eeeeh???Ila binti akishakataliwa na mama mkwe ni sheeedah!!! Mama akishaonesha chuki ata akikukubalia mwanzoni ujue Vita ataendelea mkiwa kwene ndoa mi nayaona kwa Dada angu adi mama mkwe anamuendea kwa waganga afu makabila ndo kama hayo mama mkwe mchaga.....mwalii mkurya
hawezi kumkataa bila sababu. anachotakiwa ni kusema ipimwe uzito. kukataa b kusema sababu ni dharau kubwa kwa kijana wake.Lazima mama ana sababu za kumkataa;
Zaidi ya hapo atakuwa mke wako pekee yako;
jishauri, chukua hatua.