Mama Diamond adai ndoa imemrudisha ujanani

Inawezekana bi mkubwa anawazimikia wahuni, tena huku wakisikiliza mistari ya mtoto wao wawili tu chumbani "nikasafishe mtaro"

Ha ha ha bi mkubwa akimuuliza uncle shamte kusafisha mtaro ni nini, anaonyeshwa kwa vitendo, ndio maana yake kama mwanae anasifia nae lazima apende
 
Sema, uncle shamte nae walewale kumbe nasikia alikuwa anapiga mama yake hamisa mobeto, huyu hana tofauti na mshkaji wangu wa ujanani tupo form four akawa anapiga mama yake jamaa tulikuwa tunasoma nae
Umesikia mkuu !! Unauthibitisho or ?
 
Anaidanganya Nafsi yake, Hata apake Tango mwitu uso mzima, basi harudi ujana. Na huyo jamaa hana haya....
 
Mzee abdul anajutia sasa

Binafsi namshangaa sana Nasibu kumkunjia babaake?!!? Wanatofauti Gabi??!! Wote wazaa hovyo, tofauti ni Nasibu anachapaa. Ila bi mkubwa ndo anampanga dogo amkunjie dingi hata Afen alifanya the same kwa Pac. Ila what goz around comes around. Hawa hawa Amisa na Zari watafanya the same, ni suala la muda tu.
 
Huyu maza sio mzee sana.. ila mbele ya pesa hata kama kummer yake ina makunyazi ..Me ntaila tuu.. mama chibu njoo unichukue niwe kiben10 chakooo.. achana na huyo shamte...
 
Back
Top Bottom