Mama Diamond adai ndoa imemrudisha ujanani

brave one

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
4,876
7,366
Mama wa msanii diamond platnumz maarufu Kama mama dangote amesema ndoa inamfanya ajisikie kijana na kufurahia maisha
Inst-image-11.jpeg
 
Mwachen bi mkubwa ale maisha..watu mbna wa ajabu sana mnampangiaje mtu namna ya kuish waswahil tuna matatizo sana
 
Sema, uncle shamte nae walewale kumbe nasikia alikuwa anapiga mama yake hamisa mobeto, huyu hana tofauti na mshkaji wangu wa ujanani tupo form four akawa anapiga mama yake jamaa tulikuwa tunasoma nae
Kwaiyo jamaa ni specialist wa kula watu wazima amebobea kwenye hii kazi
 
Ni vema akajua kuwa maadamu ndoa imerudisha ujanani. Ujana wake huo utafanya mwanae Diamond asioe. Mama anayeshinda na mwanae asubuhi mchana na jioni hawezi kuruhusu mwanaye aoe maana atakosa ile raha na furaha anayopatiwa kama shopping, trips, n.k.
Mama kaa kando.na Diamond aoe. Vinginevyo atazeeka bila mke.
 
Back
Top Bottom