Wakuu habari natumai muwazuma wa afya
Nimekuta hii kitu inataka kutake over kila sehemu kila siku eti mama ni mama jaman sote tunajua mama bila baba asingeitwa mama. Ila nakuta siku hizi mama amekua special kuliko baba wakati wote wanaumuhim.
Baba naye anaumuhimu wake sio mama tu wote wapewe heshima zao
Mchana Mwema wakuu.