Mama Bhoke simwelewi

Mama Bhoke simwelewi

Amehisi una mchepuko nn mkuu....maana womens (all women) wanaongozwa na hisia (not brain...hope hawataiona hii part) [emoji38][emoji38][emoji38]
 
Huyu mwanamke simuelewi elew kabisaaaa.....kila tukienda kulala anaweka wimbo wa Ditto moyo sukuma damu wiki mbili sasa na nikiomba papuchi majibu si ya nchi hii kuchoka kila muda.
Na wimbo wa MOYO Sukuma Damu unaniumiza maneno yake!
Hapa najiandaa kutafuta mchepuko maan sijui lipi na lipi?
Jiongezee mkuu
 
Amehisi una mchepuko nn mkuu....maana womens (all women) wanaongozwa na hisia (not brain...hope hawataiona hii part) [emoji38][emoji38][emoji38]
Mkuu unachosema naiman ndo icho..
Maan kuna siku aliniambia neno linahusiana ivo.
Ana wivu san yan .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom