Mama bado anaupiga mwingi?

Neno ‘mama’ lina maana kubwa maishani mwakila mmoja wetu. Ninapotamka ama kusikia neno mama mawazo yangu yanazama kwenye fikiria za matumaini, Faraja,huruma na upendo wa dhati usikuwa na kipimo kutoka kwa mama...
Anaupiga mwingi sana, kwakuwa hamna macho hamuoni

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Chombo pekee cha kuamua kama kina Mbowe ni Gaidi au laa ni Mahakama wala sio Rais. Rais hana mamlka ya kuhukumu mtu isipokuwa Mahakama pekee

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Nikisoma michango ya Jamhuri ya JF napata taabu, nashindwa kuwaelewa mifumo ya akili ya wapinzani: Walitegemea Samia ata wapenda upinzani kwa kitu gani? Umpende adui yako ili iweje? Taabu sana uchague kuwa upinzani kwa hiari yako halafu ulilie upendo wa watawala unao wapinga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uko sahihi kabisa ndugu, lakini wapinzani sio maadui au rebels lakini watawala wana wa chukulia kama maadui wakubwa wa taifa.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Uko sahihi kabisa ndugu, lakini wapinzani sio maadui au rebels lakini watawala wana wa chukulia kama maadui wakubwa wa taifa.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Wanafahamu sana kuwa sio madui wote japo baadhi ni magaidi.
In politics you either have a course to rally your file members or you have to create one to rally your troops.

They must tell CCM members all epithets to hate you for vote. CCM rank and file will never praise you and ask voters not to vote you in. The reverse is true.

You must be branded with a worst tag that a humam beign can hardly survive with.
Give a chance to a poisonous snake to mix with, but never a Chadema member.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Well spoken [emoji120]

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…