Mama azaa mjukuu wake

Tokyo40

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2013
Posts
2,065
Reaction score
1,926
View attachment 284091

Baada ya mwanae wa kike kushindwa kushika mimba, mama wa Kimarekani, Sherri Dickson, 51, ameamua kumsaidia kwa kujitolea kuwa "surrogate mother".

Bibi kajifungua mjukuu wake kwa kutumia mayai ya mtoto wake wa kike na mbegu za mume wa mtoto wake.

Mtoto kazaliwa salama.

source:bbc.com
 
Maajabu hayaishi hapa ulimwenguni
 
Akishakuwa na mjukuu anaitwa bibi na sio mama. Mbona habari ya siku tele?
 
Sijaewa hiyo sayansi wandugu, kwa hiyo jamaa alikula live papuchi ya mama mkwe!
 
Sijaewa hiyo sayansi wandugu, kwa hiyo jamaa alikula live papuchi ya mama mkwe!

No,wanakutana kimwili mtu na mkewe wanatoa mbegu zina wekwa mahala alafu wana zipqchika kwa mtu wa tatu mwenye uwezo wa kushika mimba.kwahiyo mimba ya watu hao inakulia katika tumbo la.mtu mwingine na anapata mtoto.
cha kufurahisha mbeba mimba na mtoto hawana uhusiano wa vinasaba mtoto anakuwa wa wazazi wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…