Andrew Nyerere JF-Expert Member Joined Nov 10, 2008 Posts 3,007 Reaction score 2,468 Feb 22, 2010 #61 Una maana Selander Bridge. John Selander alikuwa Waziri wa Ujenzi katika Serikali ya Gavana.
M Magezi JF-Expert Member Joined Oct 26, 2008 Posts 3,359 Reaction score 704 Feb 22, 2010 #62 nonsense
jossey1979 Senior Member Joined Apr 28, 2008 Posts 174 Reaction score 44 Jul 16, 2010 #63 wanajamvi!! hii kitu iliishaje? mtunzi wake bado hajakamatwa tu?
H HUBERT MLIGO Member Joined Oct 23, 2009 Posts 46 Reaction score 0 Jul 16, 2010 #64 Mmeanza stori zenu za uongo?
Mag3 Platinum Member Joined May 31, 2008 Posts 13,590 Reaction score 23,951 Jul 18, 2010 #65 Hii Salendar Bridge iko wapi au ndio mazingaombwe yanaendelea 🙂
N Ngala Senior Member Joined Sep 30, 2009 Posts 160 Reaction score 25 Jul 18, 2010 #66 Mag3 said: Hii Salendar Bridge iko wapi au ndio mazingaombwe yanaendelea 🙂 Click to expand... bonde la msimbzi linapoungana na bahari kuna daraja barabara ya ally hassan mwinyi ilijengwa na kajima.
Mag3 said: Hii Salendar Bridge iko wapi au ndio mazingaombwe yanaendelea 🙂 Click to expand... bonde la msimbzi linapoungana na bahari kuna daraja barabara ya ally hassan mwinyi ilijengwa na kajima.
Mag3 Platinum Member Joined May 31, 2008 Posts 13,590 Reaction score 23,951 Jul 19, 2010 #67 Ngala said: bonde la msimbzi linapoungana na bahari kuna daraja barabara ya ally hassan mwinyi ilijengwa na kajima. Click to expand... Asante sana Mkuu Ngwala mimi nilikuwa nikiijua Selander Bridge tu, anyway si kitu kwani nasikia hadi majina ya mitaa yanabadilika kwa kasi ya ajabu - yoote shauri ya maisha bora zaidi kwa kila mtaa, oops kila mtanzania !
Ngala said: bonde la msimbzi linapoungana na bahari kuna daraja barabara ya ally hassan mwinyi ilijengwa na kajima. Click to expand... Asante sana Mkuu Ngwala mimi nilikuwa nikiijua Selander Bridge tu, anyway si kitu kwani nasikia hadi majina ya mitaa yanabadilika kwa kasi ya ajabu - yoote shauri ya maisha bora zaidi kwa kila mtaa, oops kila mtanzania !