orturoo
JF-Expert Member
- Mar 13, 2017
- 3,489
- 6,173
Prof.Assad aliwahi kusema "bunge halina meno" ni kweli hii maana wanabwabwaja tuu manenoMim naona kuna haja ya kupitisha sheria ya kutoruhusu mswaada kupitishwa na bunge mpak wananchi waukubali maan vichwa vilivyopo bungen vinafikilia matumbo yao. Juz tu hapa mbunge anatakaaongezewe mshahara sasa kuna wabunge hapo.