Miguel Alvarez
JF-Expert Member
- May 28, 2019
- 3,349
- 6,422
Vijana "funua pale" mnashida sanaWasalam wanajamii forum, Mimi ni mwanaume rijali ninayeishi na mama nyumbani.
Nina tabia ya kurudia nguo hata siku SITA BIla kubadilisha na nikibadilisha naendelea hivyo hivyo huku nikirundika manguo yawe mengi Ili nije niyafue Kwa pamoja.
Mama anapenda Sana kuingia chumbani kwangu na mara nyingi panakuwa sio pasafi.Basi atanidekia choo na kusafisha chumba changu na kutandika kitanda lakini kinachoniuma kwanini ang'ang'anie kunifulia Mimi ni mtu mzima.
Kuna muda Hadi tunagombana nakasirika na kulia kabisa.Sijui hata nifanyeje anielewe.
😅😅😅Chumba chake au kwa mama yake. Huyo bado yupo kwa mama yake na mama yake ndio anamlisha na kumvalisha. Jamaa ni lichafu ndio maana mama yake analifulia.
Duh!dunia ina mamboKuna mvulana mwenzie nilikutana nae Mlandizi analalamika kunyolewa mavuzi na mamaake.
Kuja kuchunguza dogo ameshaanza kuchezewa mkia na wahuni na mamaake ni sababu ya kumwaribu
Wazazi wengine ni wapumbavu sanai!!
Ni wakambo??Another mama
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787] Mamas boy.....Nakushauri uwe unafunga chumba chako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu hatakiwi kupewa ushauri.
Mtoto wa kiume anakuwaje mpuuzi kiasi hiki? Alafu anakuja mbele ya wanaume kuwaadithia maujinga anayofanya yeye na mamaake.
Stupid kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mara mama anakulazimisha kunyoa ndevu, mara anaingia room kwako bila hodi na umevaa boxa, mara anakufulia....,we na mamako mkapimwe mkojo.
Why to her father's place while she owns her place.Huyo mtoto ni kwao ila huyo mama ni kwake.No,mama shud go back to her father place ,huyo abaki hapo ndio kwao
Urijali wakowako umeingiaje hapa storyinayo mhudu mama yako?!Wasalam wanajamii forum, Mimi ni mwanaume rijali ninayeishi na mama nyumbani.
Nina tabia ya kurudia nguo hata siku SITA BIla kubadilisha na nikibadilisha naendelea hivyo hivyo huku nikirundika manguo yawe mengi Ili nije niyafue Kwa pamoja.
Mama anapenda Sana kuingia chumbani kwangu na mara nyingi panakuwa sio pasafi.Basi atanidekia choo na kusafisha chumba changu na kutandika kitanda lakini kinachoniuma kwanini ang'ang'anie kunifulia Mimi ni mtu mzima.
Kuna muda Hadi tunagombana nakasirika na kulia kabisa.Sijui hata nifanyeje anielewe.
Sasa kama huyo mtoto ni kwao mbona wananchi wanamfukuza aondoke hapo Kwao?Why to her father's place while she owns her place.Huyo mtoto ni kwao ila huyo mama ni kwake.
Wanawake mna kazi sana.Wasalam wanajamii forum, Mimi ni mwanaume rijali ninayeishi na mama nyumbani.