Mama ana watoto wadogo anaomba msaada jamani

Aisee..tatizo binadamu tumepoteza uaminifu mnoo,.usikute ni ww mwenyewe unatafuta hela ya kuweka heshima bar hakuna cha mama watoto wa3 wala nini...

Mm naweza kusaidia japo kidogo endapo utaweka hapa vitu vifuatavyo

-anuani kamili ya anakoishi
-namba ya simu ya mwenyekiti wa mtaa/balozi wa nyumba10 wa mahali anako ishi pamoja na majina yao kamili ya utambulisho
-majina yake kamili(huyo mama)
-umri wake na wa watoto wake...

Barikiwa.
Eneo analosema Nyakato, National Huwa napita hapo mara kwa mara Kama kweli kuna Mwenye nia yakumsaidia huyu mama nipo tayari kufanya confirmation ya huu uzi.
 
Asante mkuu
 
Mwanza c ndo mlimpa kura, Kumbe huko nako namba inasomeka vyema...Haha hahah , mwache tu aisome namba maana wamama wa huko ndo walikuwa kimbelembele mwaka ule..
shida inakuja kuwa kubwa kwao maana hata ukisema wao ndo walimpigia kura jiwe hawawezi kukuelewa maana hawezi kulink uhusiano wa uchumi na rais tena rais wa majukwaa na mpenda sifa kama jiwe mtu wa wawanyonge. watakwambia kwani jiwe ndo anatufanyia kazi.
 
Aisee mtaani sio rahisi. Ningekuwa na uwezo ningekuwa nishamsaidia maana namfahamu vizuri
 
Eneo analosema Nyakato, National Huwa napita hapo mara kwa mara Kama kweli kuna Mwenye nia yakumsaidia huyu mama nipo tayari kufanya confirmation ya huu uzi.
Mkuu hujapita bado,Fanya upite hata kesho ikiwezekana tupate mrejesho...
 
Habari wanajamii

Samahani kuna mama mmoja ameomba nimtangazie yaan yuko katika hali mbaya sana. Ana watoto watatu wadogo sana na mwingine anasoma.

Mama huyo hana kazi,hata hela ya kula inakosa, hana hata pa kulala kwa maana ya godoro. Watoto wadogo sana.

Huyo mama hana kazi ila anaweza kufanya kazi yoyote ile ila isiwe tu ya baa.
Anaweza kufanya kazi za kuuza kwenye duka kwa sababu ana uzoefu huo kwa mda mrefu.

Kama kuna mtu anaweza msaidia hata mtaji ili ajishughulishe na shughuli ndogo ndogo anaomba amsaidie.hata mtaji wa kuuza genge atashukuru sana.

Mama huyo anakaa Mwanza na watoto wake watatu wadogo sana sana.
Msaada wenu ni wa muhimu sana wanajamii

Anakopatikana.... NYAKATO NATIONAL., MWANZA

Mawasiliano...... 0746426602
Hapa ndo Qur'an inafaa ikumbukwe
Mwanamke anapaswa akae ndani alee

Mkuu huyu Mama ameolewa tayari au?
 
Hapa ndo Qur'an inafaa ikumbukwe
Mwanamke anapaswa akae ndani alee

Mkuu huyu Mama ameolewa tayari au?
Hajaolewa mkuu, alikuwa na bwana ake akamtapeli kila kitu akamuacha hana A wala B . akajitahidi kutafuta vishughuli vidogo vidogo navyo vilikosa akaanza kuomba omba. Ila kwa kuwa namfahamu ndo nikaona naeza saidia kwa kumpostia ombi lake hapa ili aweze pata msaada.
 
wewe umemsaidiaje?
Mkuu kwanza Mimi sipo MWANZA kwa sasa, pia nimeijua hali yake wakati na Mimi nikiwa siko vizuri, hata hivo nimeona itakuwa afadhari kama nikimuombea hapa angalau aweze kupata chochote
 
hongera kwa kuguswa na kujali, huenda mtu akaguswa
 
Huwa nakaa Mara nyingine najiuliza Kwanini Binadamu tumekua na Moyo wa namna hii!! Ni hivi Ikitangazwa mtu anafunga Harusi, kuna sherehe za watoto michango na watu wanajitokeza kwa wingi sana.Na hao hao mmoja wapo akipata shida kuumwa, au kitu/msaada unaohusisha fedha aiseeh unaweza ukapata watu wawili kati ya kumi au hata asijitokeze mtu kabisa na michango inakua ya kusua sua.!!

Ki ukweli huwa nakua nafuraha zaidi ninapoona mwenye shida anasaidiwa na mimi huwa najihusisha kamili pale uwezo wangu ulipofikia!!

Tuwakumbuke wenye Shida Jamani!! maana ndo baraka zenyewe hizo
 
Mk
Aisee mtaani sio rahisi. Ningekuwa na uwezo ningekuwa nishamsaidia maana namfahamu vizuri
Mkuu ungeelezea vizuri kujibu maswali ya wadau huku kwenye post zilizoendelea.

nukuu
Dini iliyo safi, isiyo na taka mbele za Mungu Baba ni hii, Kwenda kuwatazama yatima na wajane katika dhiki yao, na kujilinda na dunia pasipo mawaa. YAK. 1:27 SUV YAK. 1:27 SUV; Dini iliyo safi, isiyo na taka mbele za Mungu Baba ni hii, Kwenda kuwatazama yatima na wajane katika dhiki yao, na kujilinda na dunia pasipo mawaa.
 
Habari wanajamii

Samahani kuna mama mmoja ameomba nimtangazie yaan yuko katika hali mbaya sana. Ana watoto watatu wadogo sana na mwingine anasoma.

Mama huyo hana kazi,hata hela ya kula inakosa, hana hata pa kulala kwa maana ya godoro. Watoto wadogo sana.

Huyo mama hana kazi ila anaweza kufanya kazi yoyote ile ila isiwe tu ya baa.
Anaweza kufanya kazi za kuuza kwenye duka kwa sababu ana uzoefu huo kwa mda mrefu.

Kama kuna mtu anaweza msaidia hata mtaji ili ajishughulishe na shughuli ndogo ndogo anaomba amsaidie.hata mtaji wa kuuza genge atashukuru sana.

Mama huyo anakaa Mwanza na watoto wake watatu wadogo sana sana.
Msaada wenu ni wa muhimu sana wanajamii

Anakopatikana.... NYAKATO NATIONAL., MWANZA

Mawasiliano...... 0746426602
Kwa wenzetu mama mwenye hali hiyo, anakua hana hakinya kukaa na hao watoto. Wangeshachukuliwa na kwenda kulelewa
 
Mkuu, huyo mama hana ndugu kabisa?
Je unaweza ukatutajia majina yake?
Je anaijua Jf?
 
Huwa nakaa Mara nyingine najiuliza Kwanini Binadamu tumekua na Moyo wa namna hii!! Ni hivi Ikitangazwa mtu anafunga Harusi, kuna sherehe za watoto michango na watu wanajitokeza kwa wingi sana.Na hao hao mmoja wapo akipata shida kuumwa, au kitu/msaada unaohusisha fedha aiseeh unaweza ukapata watu wawili kati ya kumi au hata asijitokeze mtu kabisa na michango inakua ya kusua sua.!!

Ki ukweli huwa nakua nafuraha zaidi ninapoona mwenye shida anasaidiwa na mimi huwa najihusisha kamili pale uwezo wangu ulipofikia!!

Tuwakumbuke wenye Shida Jamani!! maana ndo baraka zenyewe hizo
Mkuu yaan hii dunia saa nyingine mitihani yake hata haieleweki huwa kwa nini inatufikia. Mimi nishasaidiwa sana hapa hapa jamiiforum na namshukuru Mungu kwa hilo. Ndo maana Mimi huwa sijali muonekano wa MTU kama Nina uwezo wa kusaidia huwa siwazi Mara mbili maana nimeyapitia mengi sana, na ninaelewa jinsi gani mwenzangu anavyokuwa anajisikia
 
Back
Top Bottom