Donatila
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,563
- 21,665
Mama mmoja mkazi wa kijiji cha Kilolo Wilaya ya Lushoto mkoani Tanga, Mwinjuma Rashid (54), ametiwa mbaroni kwa tuhuma za kumuua mtoto wake wa kambo Hassan Abdallah (14) kwa kumkata koromeo.
Imeelezwa kuwa chanzo cha mauaji hayo ni baada ya mama huyo kuchukia kutokana mtoto huyo kutohudhuria masomo tangu shule zilipofunguliwa mwanzoni mwa mwaka huu.
Imeelezwa kuwa chanzo cha mauaji hayo ni baada ya mama huyo kuchukia kutokana mtoto huyo kutohudhuria masomo tangu shule zilipofunguliwa mwanzoni mwa mwaka huu.