Mama aibiwa mtoto kliniki Mkoani Morogoro

Mama aibiwa mtoto kliniki Mkoani Morogoro

Mume wake hawezi kumpiga makofi atafurahi tu maana wataanza mapema mambo ya usiku ya kifiserfox
 
Inasikitisha lakini huyu mwanamke siyo mzma
 
ukonga

nani ataamini upuuzi kama huo hata kama elimu yake ndogo anashindwa hata kutumia ya kuzaliwa mtu humjui, unamwachia mtoto, unatangulia unamwacha nyuma aaah its crazy...sitaki kuamini kitu kama icho amekula njama huyu...
 
Last edited by a moderator:
Nasikitika kwa wanaume wenzangu kwa jinsi mnavyomsakama huyo mama,j
Hila kwa jicho la tatu kama namuonea mme wa mama aliyeiba mtoto sababu anajua mkewe kaenda jifungua kijijini kumbe anaenda bambikiwa mtoto ambae hata hamuhusu,duh hii ni noma na keshapigiwa cm kuwa mke kajifungua salama
 
ukonga

Kusoma magazeti kama haya inataka moyo sana
 
Last edited by a moderator:
hajaibiwa bali ametapeliwa. inasikitisha sana.
ila nshindwa kuelewa ilikuwaje awe tayari kwenda dukani kununuliwa sweta na mtu asiyemjua?
Wamama muwe makini na wa mama wenzenu mnaowachia watoto wachanga

Ni habari mbaya sana,ila na huyo mama wa mtoto ana makosa,kwanini akubali kwenda kununuliwa sweta na mtu hasiye mjua?
 
Akili ya maisha haitegemei kusoma tu, huyo mama ni mzembe kupitiliza natumai mumewe atakuwa kamlipua makofi japo haisaidii kumpata mtoto lakin itamfanya mkewe kuwa makin wakati mwingine na kutorudia ujinga aliofanya.

Ni haki yake kuitwa mjinga huyo mama
 
Ni u
sio kwamba tunawanyanyapaa luv,ujinga mwingine hauvumiliki we mtu humjui unamuamini na kumuachia mtoto kizembe hivyo!
Ni uzembe wa hali ya juu sana,kwanza huyo mama ilibidi ale makofi sana tu
 
sio kwamba tunawanyanyapaa luv,ujinga mwingine hauvumiliki we mtu humjui unamuamini na kumuachia mtoto kizembe hivyo!

Inawezekana hicho kitoto kishapelekwa kutolewa kafara milima kolero
 
nchi maskini ni full matatizo... Wenzetu kila mtoto anapewa electronic device hospitalini akivuka mlango wa hospital tu bila kutolewa kanapiga kelele inapunguza wezi, kabla ya hayo yote bado security ya kutosha, Bongo ni full shida, mtu akitaka kuiba anaingia wodini anabeba mtoto anasepa hata kamera hakuna...
 
Jamani huyu kafanyiwa kiini macho, sio kusudio lake kufanya yoote hayo, ila hapa ni kiini macho kimetendeka, msimlaumu jamani huyu mzazi.
 
nchi maskini ni full matatizo... Wenzetu kila mtoto anapewa electronic device hospitalini akivuka mlango wa hospital tu bila kutolewa kanapiga kelele inapunguza wezi, kabla ya hayo yote bado security ya kutosha, Bongo ni full shida, mtu akitaka kuiba anaingia wodini anabeba mtoto anasepa hata kamera hakuna...

hapa hakuna cha umaskini wala ccm maana mmekalili kila kitu ccm
Huyu ni mjinga mwenyewe kaenda kununuliwa sweta anapenda burebure angekitoa hiko kifaa akatoka nae nje kimya kmya
 
ukonga

kutoka nunge had I kikundi na mtu usiyemjua kwani hakuna maduka ya nguo za watoto masika. huo no uongo haojiwe vizuri Hugo mama
 
Last edited by a moderator:
Mbona katapeliwa kizembe hivyo...apimwe akili huyu mwanamke
 
Hapo walipochukua bodaboda ndo pa kuanzia,aliyembeba yule mama mwizi atasema wapi alimshusha.
Ni wazo zuri, ila inaweza kutokea kwamba alikwenda kumuacha mahali ambapo huwezi kujua alielekea wapi. mfano huyo mwizi kama alishiki stand ya daladala au mabasi au barabarani itakuwa vigumu kujua alikoelekea baada ya kushuka
 
Mpumbav sana huyu dada kama mimi lazima nimnolee panga amlete mtoto wangu kokote aliko
1. Kwanza atakutoaje kwenye foleni ilhali yeye si daktari? humjuwi, kwanini aombe kukusaidia kubeba mtoto yeye anaumia wapi? mana ingekuwa muko kwenye meli ama boti ata kwenye gari pia sawa inafanyika lakini kwenye foleni hospitali? khaaa
2. Eti mutoke ospital mukanunue sueta kha! kwani mumetoka safari moja?
3. Eti amempa mtoto apande Bajaj nyengine na yeye nyengine yaani hapa ndipo pakumchija huyu akija nyumbani mikono mitupu.
4. Ata kama huyu alompa mtoto amemkuta pale hospital na mtoto wake akijaribu tu kumuelezea mtu tu hii stori inatosha kumzaba vibao huyu dada
 
Back
Top Bottom