Mama africa

Mama africa

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
562608_10151497983901245_1277636223_n.jpg
 
Mama Afrika,kila siku machozi yamtiririka.
Analilia wanae, watalawa walafi.Lini utaacha kulia mama?
Wanao watawala wamesababisha wanao wengine wakimbie nyumbani.

Wanaishi kwa jirani kukimbia mateso ya wanao watawala walafi ambao hawana uchungu na ndugu zao wa damu,hadi tunaonewa huruma na jirani.
Mama Afrika, lini machozi yataacha kutiririka?

Mama Afrika wewe bado ni mzuri unapendeza kwa sura.
Lakini asiyekufahamu anaona umezeeka, kwakuwa kila siku machozi yanakutiririka.
Unawalilia wanao watawala walafi.

Pole mama yangu Afrika,nyamaza kulia,huo ndio uzao wako uliojaaliwa, watoto walafi,wapenda makuu,wabinafsi,mafisadi,wanyonyaji, wakandamizaji.
Kwa utajiri ulionao mama yangu Afrika, hatukustahili kuja huku kwa jirani kutafuta majani mabichi.Unajitosheleza.

Tatizo wanao watawala, uliowapa milki ni walafi.
 
Mama eee basi usiliye tena !!
Eeee Mwanangu siwezikujizuwia :- ndugu zako wanaathirika kwa TINDIKALI ,wafaa kwa mihadarati, wafa kwa kuzamia, wafa migodini, wafa kwa vitani, Wafa kwa Risasi za Polisi !!
When will you stop crying african MOM?
 
Mama eee basi usiliye tena !!
Eeee Mwanangu siwezikujizuwia :- ndugu zako wanaathirika kwa TINDIKALI ,wafaa kwa mihadarati, wafa kwa kuzamia, wafa migodini, wafa kwa vitani, Wafa kwa Risasi za Polisi !!
When will you stop crying african MOM?

Indeed Life is realy short!
 
Back
Top Bottom