Nimepata habari mbaya na za kusikitisha kuna mama mmoja amefia Rombo Green View maeneo ya Shekilango akiwa na hawala. Inasemekana mama huyo alikuwa hapo anavinjari na huyo hawala ambaye ni staff wa mme wake huko Mkwawa.
Mama alikuwa ni mtu mzima yaani mama wa makamu. Polisi wanamshikilia hawala kwa uchunguzi zaidi mwili wa marehemu hauna majeraha yoyote yale. Tukio limetokea week end hii.
Yawezekana mama alipata utamu mpaka akapitiliza na kulala fofofo na kushindwa kuamka.

Aibu ya nani pearl....ya maiti?
hahaha Mambo ya Mpango wa Nje yamegoma! :whoo:
mmmmmh aibu yetu aibu yao?
Za Mwizi ni Arobaini
Zimewakuta
Ila Jamaa aliyeliwa mkewe hata pata taabu maana mamsapu kesha tangulia mbele ya hukumu sijui haki:A S-alert1:
huyo hawala alobaki je?huoni aibu itakayompata?mi mzuzu wako tu
Nimepata habari mbaya na za kusikitisha kuna mama mmoja amefia Rombo Green View maeneo ya Shekilango akiwa na hawala. Inasemekana mama huyo alikuwa hapo anavinjari na huyo hawala ambaye ni staff wa mme wake huko Mkwawa.
Mama alikuwa ni mtu mzima yaani mama wa makamu. Polisi wanamshikilia hawala kwa uchunguzi zaidi mwili wa marehemu hauna majeraha yoyote yale. Tukio limetokea week end hii.
Yawezekana mama alipata utamu mpaka akapitiliza na kulala fofofo na kushindwa kuamka.
hapo nikajua na wewe umeshiriki
ndo mambo ya kazi za nje hayo.ukiwa mpiga kazi za nje inabidi ujiandae kwa mambo kama haya
Hii ni noma mkuu, nimeipata asubuhi hii WAPO radio. Jamaa anaitwa Christopher Mabere ni IT Mkwawa Colledge Iringa Mwanamke alikua anasoma chuo cha Diplomasia, Mume wa marehemu ni mwalimu Mkwawa Iringa. Bw Mabere alikuja Dar kwa shughuli za kikazi (IT) UDSM
akuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu,zat dei mi sinilikuwa na ww kule no 6?