Mama afia lodge na mme wa mtu

Fidel80

JF-Expert Member
May 3, 2008
21,949
4,444
Nimepata habari mbaya na za kusikitisha kuna mama mmoja amefia Rombo Green View maeneo ya Shekilango akiwa na hawala. Inasemekana mama huyo alikuwa hapo anavinjari na huyo hawala ambaye ni staff wa mme wake huko Mkwawa.
Mama alikuwa ni mtu mzima yaani mama wa makamu. Polisi wanamshikilia hawala kwa uchunguzi zaidi mwili wa marehemu hauna majeraha yoyote yale. Tukio limetokea week end hii.
Yawezekana mama alipata utamu mpaka akapitiliza na kulala fofofo na kushindwa kuamka.
 
Ni kweli?
 
Labda lakini sio issue,haya mbona yanatokea daily sema hayapati airtime ila ni matukio tuliyozoea huku kwetu uswahilini
 
Hii habari niliiona juzi lakini sikujua kama jamaa ni mume wa mtu aisee naona "MPANGO WA NJE" umegonga mwamba
 
Za Mwizi ni Arobaini
Zimewakuta
Ila Jamaa aliyeliwa mkewe hata pata taabu maana mamsapu kesha tangulia mbele ya hukumu sijui haki:A S-alert1:
 
Unajuaje kama hatapata taabu unacheza na mke wa mtu nini, hata kama ameishafariki kumbuka huyu jamaa aliyefiwa na mke anafanya kazi pamoja na huyu jamaa aliyekuwa anajivinjari na mkewe
 
Nimepata habari mbaya na za kusikitisha kuna mama mmoja amefia Rombo Green View maeneo ya Shekilango akiwa na hawala. Inasemekana mama huyo alikuwa hapo anavinjari na huyo hawala ambaye ni staff wa mme wake huko Mkwawa.
Mama alikuwa ni mtu mzima yaani mama wa makamu. Polisi wanamshikilia hawala kwa uchunguzi zaidi mwili wa marehemu hauna majeraha yoyote yale. Tukio limetokea week end hii.
Yawezekana mama alipata utamu mpaka akapitiliza na kulala fofofo na kushindwa kuamka.

Hii ni noma mkuu, nimeipata asubuhi hii WAPO radio. Jamaa anaitwa Christopher Mabere ni IT Mkwawa Colledge Iringa Mwanamke alikua anasoma chuo cha Diplomasia, Mume wa marehemu ni mwalimu Mkwawa Iringa. Bw Mabere alikuja Dar kwa shughuli za kikazi (IT) UDSM
 
ndo mambo ya kazi za nje hayo.ukiwa mpiga kazi za nje inabidi ujiandae kwa mambo kama haya
 
Hii ni noma mkuu, nimeipata asubuhi hii WAPO radio. Jamaa anaitwa Christopher Mabere ni IT Mkwawa Colledge Iringa Mwanamke alikua anasoma chuo cha Diplomasia, Mume wa marehemu ni mwalimu Mkwawa Iringa. Bw Mabere alikuja Dar kwa shughuli za kikazi (IT) UDSM

mume marehemu anaitwa nani? NA WAPA POLE SANA
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom