Mama afanyiwa utapeli kwa njia ya simu, jifunze yasikukute na wewe

Johnny Sack

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
8,834
18,835
Matapeli wawili walimpigia mama mmoja simu na kujifanya ndio mwalimu na mwingine ni daktari kumuambia mwanae ambaye anasoma shule ya bweni ameugua na ana hali mbaya na anatakiwa awatumie fedha

Mama huyo alikuwa kama amewaamini na kuwasiliana na mumewe kwanza kabla ya kutuma fedha hizo ndipo mume wake akawapa makavu

 
Kwa sasa huu ndo utafutaji uliobaki maana kodi zenu zimetufanya tukimbie biashara
 
DUH NI HATARI MIE NINGE MTAFUTA KWA SIRI HALAFU ILE ANASHANGAA NA MGUSA BEGA AKIGEUKA ANAYO ...MENGINE ATAKUWA KAMA MSUKULE WANGU
 
Back
Top Bottom