Mama Afanya Mapenzi na Mwanae ili Kumpa Uzoefu wa Mapenzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mama Afanya Mapenzi na Mwanae ili Kumpa Uzoefu wa Mapenzi

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by MziziMkavu, May 30, 2010.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  May 30, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  Baba na mama wa mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka 9 wa nchini Australia wametupwa rumande kwa kufanya mapenzi na mtoto wao huyo wakidai wanampa elimu na uzoefu wa mapenzi. Mwanaume mwenye umri wa miaka 57 na mkewe mwenye umri wa miaka 48 wa nchini Australia wametupwa rumande kwa kufanya mapenzi na mtoto wao wa kiume mwenye umri wa miaka 9.

  Wazazi wa mtoto huyo ambao ni wafuasi wa kundi la watembea uchi "Nudist" walikuwa wakimpigisha punyeto na kufanya mapenzi na mtoto wao huyo ili kumpa uzoefu wa kimapenzi.

  Mamlaka husika zilipewa taarifa juu ya suala hilo baada ya mtoto huyo kumtongoza msichana katika shule yake akimtaka wafanye mapenzi.

  Polisi waliwatia mbaroni wazazi wa mtoto huyo novemba 16, 2009 na hawajapewa nafasi ya kumuona mtoto wao tena.

  Akiongea mahakamani mjini Sydney jana, baba wa mtoto huyo alikiri makosa mawili ya kumuingilia mtoto wake na makosa mengine ya kumpigisha punyeto, kumshambulia na kuziweka picha na video za vitendo vyake kwenye internet.

  Mama yake naye alikiri makosa ya kufanya mapenzi na mwanae na pia kumchua nyeti zake.

  Taarifa ya polisi ilisema kuwa mtoto huyo aliwaambia kuwa wazazi wake hutembea uchi wanapokuwa ndani ya nyumba kunapokuwa na hali ya joto.

  Baba yake hakuonyesha kujutia vitendo alivyokuwa akimfanyia mwanae na badala yake alidai kuwa anashangaa kwanini amekamatwa wakati alikuwa akimpa elimu ya mapenzi mwanae.

  Wazazi wote wawili wa mtoto huyo wamenyimwa dhamana na wametakiwa kutowasiliana na mtoto wao kwa njia yoyote ile mpaka atakapofikisha umri wa utu uzima.

  Watapandishwa tena mahakamani juni 4 kujua hatima zao.


  UTAMDUNI WA WATU WEUPE NI UCHAFU MTUPU
   
 2. S

  SuperNgekewa Member

  #2
  May 30, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  "UTAMDUNI WA WATU WEUPE NI UCHAFU MTUPU"
  Kwanza mambo hayo siyo utamaduni wa watu weupe kwani kama unavyoona wazazi wametupwa lupango na kutenganishwa na mtoto. Pili mambo kama hayo yanatokea pia kwa Waafrika/Watanzania: Baba na binti yake, mama na mvulana wake, lakini hakuna hatua zozote zinazochukuliwa kisheria. Kwa kuwa kwetu watu hawajaswekwa lupango haimaanishi huo uchafu hauko kwetu.
   
 3. F

  Fernandes Rodri JF-Expert Member

  #3
  May 30, 2010
  Joined: Apr 11, 2009
  Messages: 405
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  Mbona mimi najua waswahili wenzetu wengi tu wanazini na mabinti zao? Na wengi pia huzini na mama zao? ndio tuseme huo ni utamaduni wa waswahili? hizo ni kasoro za watu katika jamii , kosa la mtu mmoja haliwezim kutia kasoro jamii nzima. :painkiller:
   
 4. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #4
  May 30, 2010
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  Dunia tambara bovu........
   
 5. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #5
  May 30, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,819
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Kumbe?!
   
 6. Noname

  Noname JF-Expert Member

  #6
  May 30, 2010
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,269
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Sick
   
 7. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #7
  May 31, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180

  umechukua hatua gani?
   
Loading...