Malumbano ya hoja live ITV Muda huu

fikirini

Senior Member
May 24, 2011
114
22
Wana UDOM wanajadili juu ya suala la uwekezaji katika elimu hapa tz, naona Dr Lwaitama nae yupo ndani ya studio
Ila sasa Udom wanatoa hoja nyingi wakihusisha matatizo yao ya kutokwenda mafunzo kwa vitendo, lakini hapa dhana ya kuwekeza ni pana sana. ila poleni sana wana udom yaani wanafunzi elfu 4 wanatumia kompyuta 20 tu! hii ndo serikali ya ccm bwana.(kila kompyuta 1 wanafunzi 200)
 
Huyu Dr Lwaitama hana cha kufanya? Kila siku namuona kwenye TV! Halafua anachoongea hakieleweki!
 
Kama mhadhiri wa chuo kikuu hii ni aibu kwa kweli. Kila mjadala utamwona na michango yake haina proffessional relevance. Inaonekana anatafuta cheap popularity. Eti siku moja namwona anajadili issues za Anti Money Laundry, yeye ni mtu wa philosophy mambo ambayo kwake najua sio uwanja wake kabisa. Hata hivyo sijawaji kuona publication yake yoyote.
 
kwani uwezo wako wa kuelewa ukoje? angalia usijekuwa umejifafanua kwamba ni mgumu kuelewa na mkaidi unapofundishwa.
 
material anayotoa ww huwez kuelewa yako juu ya uwezo wako,yy ni dr. Wew unawaelewa kwa ulaisi walimu wa shule ya msingi.nazan tatzo lako ndo ilo.
 
wewe siyo kipimo cha uelewa, kama unabisha weka hapa jamvini ambacho amewahi kuongea au kusema ndg. wilson mukama si tu kueleweka bali pia chenye kulingana na hadhi yake ya ukatibu mkuu wa chama tawala.
 
material anayotoa ww huwez kuelewa yako juu ya uwezo wako,yy ni dr. Wew unawaelewa kwa ulaisi walimu wa shule ya msingi.nazan tatzo lako ndo ilo.
U-dr kitu gani? Unajua mimi nina elimu gani? Usipende tu kuropoka, fikiri kwanza
 
na huyu dada hana la kusema. pumba tuu
tena huyo du yeye anasema bi mkubwa wake kampa support mpaka alipofika bt ni katika wale familia bora so haamini kuna graduate yuko mtaani hata nauli ya Tsh 300 hana then yeye analeta zenge la kujitollea kufanya kazi (Volunteer).......
 
kwani uwezo wako wa kuelewa ukoje? angalia usijekuwa umejifafanua kwamba ni mgumu kuelewa na mkaidi unapofundishwa.
Soma Comment ya Kipilime hapo juu, nafikiri kaongea vizuri
 
Hapo umeleta politcs mkuu! Hapa tunaongelea malumbano ya hoja ITV. Sasa ishu za Mukama zimetoka wapi?
subject - uelewa, nilichagua mukama ili tuone pengine wengine unawaelewa
 
Kama mhadhiri wa chuo kikuu hii ni aibu kwa kweli. Kila mjadala utamwona na michango yake haina proffessional relevance. Inaonekana anatafuta cheap popularity. Eti siku moja namwona anajadili issues za Anti Money Laundry, yeye ni mtu wa philosophy mambo ambayo kwake najua sio uwanja wake kabisa. Hata hivyo sijawaji kuona publication yake yoyote.
I won't blame you... cause you sound like someone who has never seen the inside of a classroom!
 
Back
Top Bottom