Dr Akili
JF-Expert Member
- Aug 21, 2011
- 5,313
- 4,751
Watu kudumisha mila zao kuna mbaya gani? Mmasai mila yake inahusu ng'ombe na mchanga inahusu pesa, sasa kuna mbaya hapo kweli? Mzaramo, Msukuma, Mhaya nk wote wana mila zao, ndizo zinawatambulisha na zinapaswa kudumishwa. Tena ya mchaga ni nzuri kweli kweli na wengine wangekuwa nayo nchi ingeendelea.