Malumbano anapo fariki Rais


Huyo ni profesa Bingu wa mutharika, nimekutana na mmalawi mmoja akanisimulia jinsi kaka ya mutharika alivolazimisha kusafirisha maiti ( akidai kuwa ni mzima) wenye ndege wakakataa kwa sababu za kimaadili maana ilikuwa ni ndege ya hospitali ya afrika ya kusini ya kubebea wagonjwa , wao waliitwa kuchukua mgonjwa na sio marehemu, ikabidi baadae mzee zuma afahamishwe ndiyo ile ndege ikambeba marehemu.

Hao jamaa wamelaaniwa kwa uchu wa madaraka.
 
Instead ya kupanga vp wanamsitiri mwenzao wao wapo kimaslah zaid duh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…