Malow-income wamevamia Mbezi Beach!

Status
Not open for further replies.
Hata hao wa mwanzo sahivi wanauza mkaa nje ya mageti yao.
 
UVCCM dhambi ya ubaguzi inawaandama.
 
Kwani kuna tatizo gani kuwa choka mbaya? Nimesema tu ukiwa choka mbaya usitake kulazimisha kuhamia Mbezi Beach, yapo maeneo ya malow income kama Migomigo, Tabata relini & Co.
We jinaia gani mkuu[emoji23] [emoji23]
 


Hauijui Historia ya Mbezi Beach wewe uliza uelimishwe, ni hivi lile eneo lote kuanzia Afrikana mpaka Tangi bovu lilikuwa ni mashamba ya Katani ya Mgiriki, Nyerere akataifisha na pakapimwa vizuri kwa ajili ya makazi ya high income blacks kama ilivyokuwa Obey kwa Wazungu au Upanga kwa Wahindi!
 
kwa ujumla wake Tanzania sisi bado ni nchi maskini. Tajiri anayeongoza hapa Ana 1.bil USD ambayo huko mbele kwa wanaume si chochote.
 
Mbona jamaa anazungumzia wajasiriamali wa imani na walishaji kwa kutumia mahindi alafu anawaona kama watu wa chini? Wajasiriamali wa kweli hujua lilipo soko ya bidhaa husika. Matajiri wa kweli wapo mbagala kusikotokea maji ya mvua kujaa na kuingia kwenye majumba ya watu
 
Kwan bila low income ungejulikanaje we we jua kua bila uwepo Wa masikini asinge julikana tajiri pia umasikini sio kilema tena kumbuka watanzania hatujafikia huko kubaguana na ingelikua hivo basi mgelikua na tz yenu matajiri tu pia usingeli changanyikana ktk zoezi lolote lile la kukutanishwa na masikin kwenye hiyo mitaa yako unayo jigamba nayo ila usisahau hakuna utofauti Wa kifo kwa masikin na tajiri fungal mdomo wako acha kashfa Mungu sio mwanadam unaweza pata balaa ambalo utajiri wako au wenu hauwezi kuwa msaada ila msaada ukaupata Wa low income yangu hayo tu Mkuu
 
Kumbe bado watu wanajivunia maeneo ya makazi, Utoto raha sana
 


Tangu lini ukweli ukageuka kuwa kashfa? Kwa nini Obey, Masaki, Upanga hamvamii?

I mean kwa nini ziko vile vile kwa mpangilio na usafi wake kama zamani?
 
Hamia Mtoni Kijichi napaona pazuri sana ingawa beach ya kule haijaendelezwa. Wao hawana shida hizo za kutowataka hawa ama wale.
 

Kwani mbezi beach inaanzia wapi na kuishia wapi hadi unashauri Sumatra waondoe daladala,,,mbezi mnaishi maskini watupu, njoo kule mbweni na ununio
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…