Hapana,ndo nani huyo?Mkuu unamjua Kaboma?
Story yako ni nzuri wajua kupangilia visa na kuamasha msisimko kwa msonaji. Ila umenikera tu kwa kuskosea methali ya kiswahili pale uliposema "mwendapole marejeo ngamani" ili hali ilitakiwa kuwa
"Mwenda tezi na omo mareneo ni ngamani" yaani ikitokea kurupushani kwa mfano kwa vyombo vya majini km vl ngalawa,mtumbwi nk utaenda mbe na kurudi nyuma(tezi na omo) kwa kuhangaika lkn mwisho utarudi ktkt ya chombo(ngamani)