utukufu mwanjisi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2017
- 2,830
- 2,417
Labda niwafungue kitu vijana na wanachama wa CHADEMA maana mmekuwa mkijinadi mna vijana wenye uelewa mkubwa sijui akili kubwa sijui mnaitana hata majina ambayo dunia yenyewe inashangaa eti Wakili msomi mwandetetele. Nani kawadanganya kwamba kuna Wakili ambaye hajasoma?
Je, CCM ingeamua kutamka hilo wakili msomi kwa watu wake si mngekimbia nyie mapema kabla ya mechi!
Lakini niwaambie hamna chama kina vijana na wanachama weupe kama CDM, hata chama kidogo cha Rasta mgombea wa urais Malawi hamuwezi kukifikia kama mchezo mdogo tu wa 2015 mlishindwa kuugundua mapema na mkaukwepa lakini mkauvaa mkenge huku mkiacha Lumumba team ikishangilia vibaya mno.
Masterminder Rais Mstaafu Jakaya Kikwete aliamua kumtuma Waziri Mkuu mstaafu Lowassa kuja kuwavuruga nanyi mlivyo na akili fupi mkauvaa mkenge na kumtosa mtu muhimu kwenu ambae mpaka leo mngekuwa mnajivunia vibaya mno sasa hamjui mnachokisimamia mmekosa dira na hiyo ndo imetoka.
Naona sasa hivi mnakuja na Sera mbadala hizo slogan zenu tushazizoea mana hamtimizi mnachokisimamia.
Hongereni Mnyika na Malisa kwa kuusoma mchezo mapema na kuamua muda mwingi kukaa mbali na Mabadiliko ambayo yalikuwa maigizo
Sent using Jamii Forums mobile app