Malisa GJ, John Mnyika na Dr. Slaa ndo watu pekee waliogundua mchezo wa CCM 2015

utukufu mwanjisi

JF-Expert Member
Aug 19, 2017
2,830
2,417
Labda niwafungue kitu vijana na wanachama wa CHADEMA maana mmekuwa mkijinadi mna vijana wenye uelewa mkubwa sijui akili kubwa sijui mnaitana hata majina ambayo dunia yenyewe inashangaa eti Wakili msomi mwandetetele. Nani kawadanganya kwamba kuna Wakili ambaye hajasoma?

Je, CCM ingeamua kutamka hilo wakili msomi kwa watu wake si mngekimbia nyie mapema kabla ya mechi!

Lakini niwaambie hamna chama kina vijana na wanachama weupe kama CDM, hata chama kidogo cha Rasta mgombea wa urais Malawi hamuwezi kukifikia kama mchezo mdogo tu wa 2015 mlishindwa kuugundua mapema na mkaukwepa lakini mkauvaa mkenge huku mkiacha Lumumba team ikishangilia vibaya mno.

Masterminder Rais Mstaafu Jakaya Kikwete aliamua kumtuma Waziri Mkuu mstaafu Lowassa kuja kuwavuruga nanyi mlivyo na akili fupi mkauvaa mkenge na kumtosa mtu muhimu kwenu ambae mpaka leo mngekuwa mnajivunia vibaya mno sasa hamjui mnachokisimamia mmekosa dira na hiyo ndo imetoka.

Naona sasa hivi mnakuja na Sera mbadala hizo slogan zenu tushazizoea mana hamtimizi mnachokisimamia.

Hongereni Mnyika na Malisa kwa kuusoma mchezo mapema na kuamua muda mwingi kukaa mbali na Mabadiliko ambayo yalikuwa maigizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo sasa hamtaiba kura na kupora ushindi kwa msaada wa tiss,policeccm na NEC? Kama ni hivyo sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
kwa akili yako mpaka leo unaamini mliibiwa kura...pole sana mkuu sisi kwetu raha mana tukachezesha nanyi mkacheza
tapatalk_1552113143559.gif

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sidhani kama suala la Lowassa kwenda CHADEMA lilikuwa na Baraka zote Toka kwa WANACCM kwa maana alitukanwa mno akiwa CHADEMA lakini kikubwa tumshukuru sana na kumpongeza kwa ujasiri na kuvumilia matusi yote Yale...

KUNA haja ya wanasiasa, karibu wote, kuwa imara na wavumilivu kama Lowassa na waige kutoka kwake.

Maendeleo hayana chama
CCM OYEE
KIDUMU CHAMA TAWALA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja niwambie kitu hapa, kama Chadema wangemuacha Lowassa aende zake kwa Zitto Kabwe ilikuwa ni balaa zaidi. CCM wangeshinda kwa kirahisi mno. Mtego wa Chadema ulikuwa hapo, maana walishaandaliwa bomu kupitia ACT WAZALENDO kupunguza nguvu ya Chadema.

Strategist master wa Chadema alicheza vizuri sana baada ya kuusoma mchezo. Siasa zetu ni rafu sana, hata ningekuwa ni mimi Lowassa pamoja na makandokando yake kwa hali ambayo Chadema walikuwa nayo ni lazima atumike tu.

Baada ya Lowassa kuingia UKAWA, sote hapa nimashahidi, zito alipwaya na vijana wake kama Masterwile Fahami kule Bukoba mnajua walivyopata tabu na walipata tabu sana. Zitto peke yake ndiye akashinda ubunge.

Nimalizie Kwa kusema, Siasa zinategemea na rafu na upepo utakavyovuma. Kama Dr.Slaa( au babu kama alivyokuwa anaitwa na NAPE ) angeruhusiwa kupeperusha bendera ya ukawa na Lowassa akajiunga kwa Zitto Dr. Slaa povu lingemtoka sana kujibu hoja za Dr.Magufuli na kujibu hoja za Zitto wakiwa na Lowassa.

sisi kwetu vyovyote angeenda Ukawa sawa angeenda Wazalendo sawa lakin kumtumia kuwabomoa ni pale pale ko 2015 mchezo ulishakamilika ila hao vijana ndo waliujua mchezo wengine walikuwa wapiga kelele tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tulia wewe haya mambo ya cdm unayajulia wapi mataga , wewe ongelea ccm chama cha kijani nako sijui kama una kijua vizuri .
 
MBOWE ALITHAMINI MKWANJA KULIKO USTAWI WA CHAMA.
LOWASA alikuwa fimbo ya kuua chadema
 
Wewe ni boya kama baba akoo
Labda niwafungue kitu vijana na wanachama wa Chadema mana mmekuwa mkijinad mna vijana wenye uelewa mkubwa sijui akili kubwa sijui mnaitana hata majina ambayo dunia yenyew inashangaa eti Wakili msomi mwandetetele nan kawadanganya kwamba kuna Wakili ambae hajasoma je Ccm ingeamua kutamka hilo wakili msomi kwa watu wake si mngekimbia nyie mapema kabla ya mechi.
Lakin niwaambie hamna chama kina vijana na wanachama weupe kama Cdm hata chama kidogo cha Rasta mgombea wa urais Malawi hamuwez kukifikia kama mchezo mdogo tu wa 2015 mlishindwa kuugundua mapema na mkaukwepa lakin mkauvaa mkenge huku mkiacha Lumumba team ikishangilia vibaya mno.
masterminder rais mstaafu jakaya kikwete aliamua kumtuma Waziri mkuu mstaafu Lowassa kuja kuwavuruga nanyi mlivo na akili fupi mkauvaa mkenge na kumtosa mtu muhimu kwenu ambae mpaka leo mngekuwa mnajivunia vibaya mno sasa hamjui mnachokisimamia mmekosa dira na hiyo ndo imetoka.
naona asaiv mnakuja mara Sera mbadala hizo slogan zenu tushazizoea mana hamtimizi mnachokisimamia..Hongereni Mnyika na Malisa kwa kuusoma mchezo mapema na kuamua muda mwingi kukaa mbali na Mabadiliko ambayo yalikuwa maigizo

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom