Malisa GJ, John Mnyika na Dr. Slaa ndo watu pekee waliogundua mchezo wa CCM 2015

Bora Dr angekuwepo heshima ya chama ingekuwepo kuliko kumchukua Lowassa leo chama wala hakieleweki ni nini inachokisimamia
Ngoja niwambie kitu hapa, kama Chadema wangemuacha Lowassa aende zake kwa Zitto Kabwe ilikuwa ni balaa zaidi. CCM wangeshinda kwa kirahisi mno. Mtego wa Chadema ulikuwa hapo, maana walishaandaliwa bomu kupitia ACT WAZALENDO kupunguza nguvu ya Chadema.

Strategist master wa Chadema alicheza vizuri sana baada ya kuusoma mchezo. Siasa zetu ni rafu sana, hata ningekuwa ni mimi Lowassa pamoja na makandokando yake kwa hali ambayo Chadema walikuwa nayo ni lazima atumike tu.

Baada ya Lowassa kuingia UKAWA, sote hapa nimashahidi, zito alipwaya na vijana wake kama Masterwile Fahami kule Bukoba mnajua walivyopata tabu na walipata tabu sana. Zitto peke yake ndiye akashinda ubunge.

Nimalizie Kwa kusema, Siasa zinategemea na rafu na upepo utakavyovuma. Kama Dr.Slaa( au babu kama alivyokuwa anaitwa na NAPE ) angeruhusiwa kupeperusha bendera ya ukawa na Lowassa akajiunga kwa Zitto Dr. Slaa povu lingemtoka sana kujibu hoja za Dr.Magufuli na kujibu hoja za Zitto wakiwa na Lowassa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda niwafungue kitu vijana na wanachama wa CHADEMA maana mmekuwa mkijinadi mna vijana wenye uelewa mkubwa sijui akili kubwa sijui mnaitana hata majina ambayo dunia yenyewe inashangaa eti Wakili msomi mwandetetele. Nani kawadanganya kwamba kuna Wakili ambaye hajasoma?

Je, CCM ingeamua kutamka hilo wakili msomi kwa watu wake si mngekimbia nyie mapema kabla ya mechi!

Lakini niwaambie hamna chama kina vijana na wanachama weupe kama CDM, hata chama kidogo cha Rasta mgombea wa urais Malawi hamuwezi kukifikia kama mchezo mdogo tu wa 2015 mlishindwa kuugundua mapema na mkaukwepa lakini mkauvaa mkenge huku mkiacha Lumumba team ikishangilia vibaya mno.

Masterminder Rais Mstaafu Jakaya Kikwete aliamua kumtuma Waziri Mkuu mstaafu Lowassa kuja kuwavuruga nanyi mlivyo na akili fupi mkauvaa mkenge na kumtosa mtu muhimu kwenu ambae mpaka leo mngekuwa mnajivunia vibaya mno sasa hamjui mnachokisimamia mmekosa dira na hiyo ndo imetoka.

Naona sasa hivi mnakuja na Sera mbadala hizo slogan zenu tushazizoea mana hamtimizi mnachokisimamia.

Hongereni Mnyika na Malisa kwa kuusoma mchezo mapema na kuamua muda mwingi kukaa mbali na Mabadiliko ambayo yalikuwa maigizo

Sent using Jamii Forums mobile app
Pointless tupu

Kawadanganye kenge wenzio yaan unataka kuniambia vijana ugoro wa polepole wako smart upstair?Acha utan bhana....haya maon yako ni ramli zilizofanikiwa!!!anyway....
 
Kwa ushindi alioupata Nassar na Sugu kelele kama hizi zinadhiiriisha ni upuuzi.

Jipangeni kihoja ogopen gia ya angani shungurui
 
Labda niwafungue kitu vijana na wanachama wa CHADEMA maana mmekuwa mkijinadi mna vijana wenye uelewa mkubwa sijui akili kubwa sijui mnaitana hata majina ambayo dunia yenyewe inashangaa eti Wakili msomi mwandetetele. Nani kawadanganya kwamba kuna Wakili ambaye hajasoma?

Je, CCM ingeamua kutamka hilo wakili msomi kwa watu wake si mngekimbia nyie mapema kabla ya mechi!

Lakini niwaambie hamna chama kina vijana na wanachama weupe kama CDM, hata chama kidogo cha Rasta mgombea wa urais Malawi hamuwezi kukifikia kama mchezo mdogo tu wa 2015 mlishindwa kuugundua mapema na mkaukwepa lakini mkauvaa mkenge huku mkiacha Lumumba team ikishangilia vibaya mno.

Masterminder Rais Mstaafu Jakaya Kikwete aliamua kumtuma Waziri Mkuu mstaafu Lowassa kuja kuwavuruga nanyi mlivyo na akili fupi mkauvaa mkenge na kumtosa mtu muhimu kwenu ambae mpaka leo mngekuwa mnajivunia vibaya mno sasa hamjui mnachokisimamia mmekosa dira na hiyo ndo imetoka.

Naona sasa hivi mnakuja na Sera mbadala hizo slogan zenu tushazizoea mana hamtimizi mnachokisimamia.

Hongereni Mnyika na Malisa kwa kuusoma mchezo mapema na kuamua muda mwingi kukaa mbali na Mabadiliko ambayo yalikuwa maigizo

Sent using Jamii Forums mobile app
Tulia kwanza, acha kulia. Ukiongea huku unalia kwikwi zinakandamiza hoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom