Malisa GJ, John Mnyika na Dr. Slaa ndo watu pekee waliogundua mchezo wa CCM 2015

kwa akili yako mpaka leo unaamini mliibiwa kura...pole sana mkuu sisi kwetu raha mana tukachezesha nanyi mkacheza View attachment 1044831

Sent using Jamii Forums mobile app

Naona ukoo wa Panya wanacheeeka kuingiza watu mkenge.
Ninyi wenyewe wala hamko salama,jiwe anawakafini kinoma.
Buku 7mnazolipwa ili mjipendekeze kwa jiwe sasa hivi ni kama 70,000 za JK
Na bado....jiwe kaanzisha ukoo mpya...mara vaaap 1.5 trilion zimetafunwa na panya wapya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Humu ndani wanajinadi wana akili mno, sana

wanajua kila kitu

CCM is there to stay for next 30 yrs

Slaa angegombea, 2020 na 2025 upinzani ungekuwa bado una nguvu na ungebeba nchi
Acha uongo,unampamba mtu aliyejidhihirisha ni puppet,he has proved to be a very weak and useless politician, sometimes it takes time to know politicians' true colours coz majority of them(if not all) are chameleons.
Pamoja na kuwa Ngoyai alikuwa na ajenda zake binafsi zilizomfikisha kwenye utumiaji wa mamilioni kibao katika kuutafuta urais,aliwasaidia sana CDM kuongeza wabunge kwa kiwango ambacho hakuna mwanasisa mwingine yoyote kwa wakati ule angeweza.
CDM inawabidi washukuru ujio wa Lowasa wakati ule kwani uliwasaidia kujua rangi halisi za Slaa,otherwise wengeendelea kuwa na mtu ambaye rangi zake halisi hazikuwa zikifahimika.
Siasa hizi zimejaa mauzauza si mchezo,there are a lot of twist and turns,wakuwaonea huruma ni wale waliomo lakini kinachoendelea behind the curtains ndani ya vyama vyao hawajui na hata wakijua they don't have any say about any shit.
 
Back
Top Bottom