Malipo ya sensa

Malipo ya sensa

Hapo lazima watu wapige hela kumalizia majengo yao.. sana sana mawakala wataambulia 5000 tu kwa siku! Ni vema wakajua amount mapema ili kusiwe na upigaji
 
Kujua muhimu ili kama hakuna maslahi unapiga chini.
 
hapo kazi ipo hususani maeneo ya vijijini watachakachua na zaidi sana mawakala wataambulia malipo kidogo hivyo ni vema mtu kufahamu mapema kama inamaslai.
 
majina yanabandikwa kesho jmosi asubuhi kwa hapa Mtwara manispaa, baadae ukaguzi wa vyeti halisi (original).
 
Mwenye data kamili kuhusu malipo aseme jaman, siku za semina sh ngapi na siku za sensa sh ngapi???
 
Kuna kiongozi mmoja mwepesi kidogo kwenye halmashauri tanga kaniambia kuwa ukichaguliwa kwenye dodoso refu ni 650000 na ukichaguliwa kwenye dodoso fupi ni 550000,kuanzia semina siku6 na shughuli yemyewe.
 
Kwa siku?
Kuna kiongozi mmoja mwepesi kidogo kwenye halmashauri tanga kaniambia kuwa ukichaguliwa kwenye dodoso refu ni 650000 na ukichaguliwa kwenye dodoso fupi ni 550000,kuanzia semina siku6 na shughuli yemyewe.
 
AAAHGGG! yani hawa watu walioomba kutuesabu sensa wanachosha sasa! mana kila mtu anaulizia malipo! sasa wakati mnaomba mlikuwa amuulizi? au mnataka kujitoa kwenye hiyo kazi
 
Mi barua nimepata, kuna wasimamizi na makarani, makarani wamegawanyika(wa dodoso fupi na refu). Mi nimechaguliwa kama msimamizi wa kata moja hivi. Tuko wasimamizi wanne. Ni tshs. 780,000, makarani wa dodoso refu ni 670,000(sh.35,000 kwa siku 1xsiku 11 za semina, siku 7 za field ni sh.250,000/= na tsh. 35000 za nauli kwa siku 7 za field). Nadhani umenielewa boss. Kama hujaelewa niPM nipe email adress nikutumie copy ya barua kwani inaeleza.
 
Back
Top Bottom