Malipo ya Sensa:Je hivi ndivyo ilivyo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Malipo ya Sensa:Je hivi ndivyo ilivyo?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mr. Bigman, Aug 14, 2012.

 1. Mr. Bigman

  Mr. Bigman JF-Expert Member

  #1
  Aug 14, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,841
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Jamani, Wakufunzi/Wawezeshaji wa mafunzo haya ya makarani wa sensa yanayoendelea hivi sasa,nchi nzima tujuzane. Imekuwa stated clearly ktk waraka uliotoka ofisi ya Taifa ya takwimu kuwa mkufunzi atalipwa tshs 40,000/= kwa siku. Sasa huku Mkoa wa Lindi wanalipa tshs 35,000/= bila maelezo yeyote yale. Hii ni sawa wenzetu wa maeneo mengine? Kuna mabadiliko rasmi au ni uchakachuaji?
   
 2. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #2
  Aug 14, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Wanawaibia
   
 3. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #3
  Aug 14, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  Hiyo hiyo inatosha. unataka ule peke yako? kwa Bongo hayo mambo ya kupiga pasu mbona kawaida tu na hamna swali? kila mtu hula ofisini kwake. mia
   
 4. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #4
  Aug 14, 2012
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,344
  Likes Received: 3,111
  Trophy Points: 280
  Hiyo si ni 10% unashangaa nini? Umepata kihalali hiyo nafasi kweli? In tz nothing impossible ndiyo maana anayeiba kuku anauawa papohapo lkn anayeiba mabilioni anabembelezwa ayarudishe (only in tz)
   
 5. dwight

  dwight JF-Expert Member

  #5
  Aug 14, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 437
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Waraka mwingine upo unaoeleza kuwa walipwe 35000 na wewe uko kizalendo au kimaslahi
   
 6. Tuyuku

  Tuyuku JF-Expert Member

  #6
  Aug 14, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 3,149
  Likes Received: 1,405
  Trophy Points: 280
  mbona Mbeya mjini wanalipwa 32500/= unaichezea Tanzania wewe! Kila mtu anatafuta tobo anyonye asali ya nchi.
   
 7. M

  Mpendawali Member

  #7
  Aug 14, 2012
  Joined: Jul 29, 2012
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapohapo mzuka 2!!!shukuru umepata nafas
   
 8. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #8
  Aug 14, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  ukiona manyoya........
   
 9. Asante

  Asante JF-Expert Member

  #9
  Aug 14, 2012
  Joined: Dec 18, 2009
  Messages: 1,956
  Likes Received: 297
  Trophy Points: 180
  Msikubali chukua hatua
   
 10. S

  Sympson.E New Member

  #10
  Aug 14, 2012
  Joined: Aug 14, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanakata tsh 2500 kwa ajili ya chakula
   
 11. S

  Sympson.E New Member

  #11
  Aug 14, 2012
  Joined: Aug 14, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanakata tsh 2500. Kwa ajili ya chakula.
   
 12. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #12
  Aug 14, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,867
  Likes Received: 6,219
  Trophy Points: 280
  Sasa wao wakale wapi jamani???
   
 13. Jodoki Kalimilo

  Jodoki Kalimilo JF-Expert Member

  #13
  Aug 14, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 8,619
  Likes Received: 2,042
  Trophy Points: 280
  Hili zoezi linahitaji uzalendo zaidi kama serikali ingejua ingechukua watumishi wa serikali ili iwe ni sehemu ya kazi yao maana watz tumezidi kila kitu posho, umwite mtu kwenye semina ambayo ni kwa manufaa kwake hata kama ni katika eneo lake lilelile atataka posho kubwa, inabidi tuvunje hii tabia ila kama waraka unasema hivyo komaeni wawalipe
   
 14. I

  Igangilonga Senior Member

  #14
  Aug 14, 2012
  Joined: Mar 11, 2006
  Messages: 121
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  sijui kuhusu wakufunzi wanalipwaje, but makarani wanalipwa Sh. 32,500 + 2,500 ya chakula kwa siku kwa kipindi cha semina (jumla 35,000). Kipindi cha kazi yenyewe ya kuhesabu ambayo itachukua km siku 7 watalipwa lumpsum ya 250,000 + 35,000 ya nauli
   
 15. Butho Mtenzi

  Butho Mtenzi JF-Expert Member

  #15
  Aug 15, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 328
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Sawa kabisa ata uku kwetu ndo ivo ivo
   
 16. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #16
  Aug 15, 2012
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,793
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145

  Mkuu Igangilonga, tafadhali hebu nifafanulie zaidi hapo. Hiki kipindi ca Semina kimepangwa kuwa ni siku ngapi? Na hapo pa 250,000 + 35,000 maana yake ni kuwa 285,000/= PLUS zile za Kipindi cha Semina??? Dah, Sijui kwa nini sikutafuta Mshikaji akanisukumia huko....!
   
 17. njofu

  njofu Member

  #17
  Aug 15, 2012
  Joined: Jul 29, 2012
  Messages: 48
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 15
  babati wanakata 5000 heri yenu
   
 18. njofu

  njofu Member

  #18
  Aug 15, 2012
  Joined: Jul 29, 2012
  Messages: 48
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 15
  babati wanakatwa 5000 kwa ajili ya chakula
   
Loading...