Katika vitu ninavyomsifu Magufuli ni malipo ya pensheni. Wastaafu ninaowajua wan alipewa bila usumbufu.
Imekuwaje? Mimi wakwangu ameongezewa sasa anapata laki moja wakati zamani za kale alikuwa anacheza kwenye 40,000[emoji848] [emoji848] Mh mbona kuna Mzee wangu mmoja hivi tangu 2015 anahangaika kupata hadi leo.
Imekuwaje? Mimi wakwangu ameongezewa sasa anapata laki moja wakati zamani za kale alikuwa anacheza kwenye 40,000
Dada kuna wastaafu wengi wa mwaka jana hawajalipwa hadi leo wanasaga rumba, kumbe siku ukipata ka u DC dada yetu ndo hivyo tena!Katika vitu ninavyomsifu Magufuli ni malipo ya pensheni. Wastaafu ninaowajua wan alipewa bila usumbufu.
Uchaguzi ujao usidanganywe na kanga na T-shirt.Mimi mmoja wa Wastaafu na nimekuwa nikipata pensheni yangu kuanzia tarehe 28 kila mwezi lakini kwa mwezi huu imekuwa ni tofauti kabisa. Mpaka sasa sijajulishwa kupitia sms inayoniarifu toka NMB kuwa pensheni yangu tayari imeingizwa kwenye akaunti yangu. Sisi Wastaafu pensheni ndiyo tegemeo letu mnapotucheleweshea tunapata matatizo za kimaisha.
Hivyo huwa nikwanin acheleweshewe mafao ya michango yao walikuwa wakichangia mkuu?Wengi tu waliostaafu mwaka jana hawajalipwa mafao hadi leo!
Mzee tunajenga viwanda pensheni badaeMimi mmoja wa Wastaafu na nimekuwa nikipata pensheni yangu kuanzia tarehe 28 kila mwezi lakini kwa mwezi huu imekuwa ni tofauti kabisa. Mpaka sasa sijajulishwa kupitia sms inayoniarifu toka NMB kuwa pensheni yangu tayari imeingizwa kwenye akaunti yangu. Sisi Wastaafu pensheni ndiyo tegemeo letu mnapotucheleweshea tunapata matatizo za kimaisha.
Mzee wangu bado naomba mpigie chapuo kwa magu akumbukweKatika vitu ninavyomsifu Magufuli ni malipo ya pensheni. Wastaafu ninaowajua wan alipewa bila usumbufu.
Kwanza, shikamooMimi mmoja wa Wastaafu na nimekuwa nikipata pensheni yangu kuanzia tarehe 28 kila mwezi lakini kwa mwezi huu imekuwa ni tofauti kabisa. Mpaka sasa sijajulishwa kupitia sms inayoniarifu toka NMB kuwa pensheni yangu tayari imeingizwa kwenye akaunti yangu. Sisi Wastaafu pensheni ndiyo tegemeo letu mnapotucheleweshea tunapata matatizo za kimaisha.
Huyo labda km ana tatizo lingine. Pension inalipwa kila mwezi au baada ya miezi 3 kwa mtumishi aliyestaafu na amechangia kwenye mfuko wa Hifadhi ya Jamii aliyokuwa mwanachama kwa miaka 15 au zaidi.[emoji848] [emoji848] Mh mbona kuna Mzee wangu mmoja hivi tangu 2015 anahangaika kupata hadi leo.